Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kama mnavyoona hapo. Nimetokea kupenda huu mchanganyiko siku za karibuni. Hii ngano si ndio yale ya kijenetiki? Na haya maziwa ya unga mtu akitumia kila siku madhara yake nini? Maoni yenu tafadhali
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili ni tunda lenye virutubisho vingi na muhimu kwa afya zetu, na inaelezwa kuwa tunda hili huenda likawa ni mbadala wa vyakula vya nyama kwa jinsi lilivyo na malighafi zote zilizo muhimu ndani...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Nilianza period tarehe 4 mwezi huu nikamaliza tarehe 6. Mpenzi wangu akaja tarehe 16 tunasex na kesho anaondoka. Najiuliza nitapata mimba kweli? Natamani mtoto jamani.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate...
4 Reactions
47 Replies
18K Views
Naombeni mnisaidie daktar wa magonjwa ya akili Nina mpendwa wangu amepata maradhi ya ukichaa... msaada
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu Hivi kuna software ambayo inaweza kublock new numbers??yani kublock namba mpya ambayo hujaisave??
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za hapa. Nimepata hili Nilitumia fluconazole one tab for 14 Nimemaliza. But cha kunishangaza even kwenye penis na ndani ya kuta za mdomo kwa pembeni Nimeona kitu kama uduara, Jr doctor...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nina mchumba wangu kwa kipindi cha mwanzo alikuwa anabreed vizuri tu lakini sasa anabreed mabonge mabonge ya damu,tatizo ni nini na kuna mazara kwa hali yake anavobreed saizi??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari... Kwa anaejua daktari mzuri wa magonjwa ya wanawake please anijuze... Especially kwa Dar....au hata hospital nzuri yenye inatoa huduma nzuri kwa magonjwa ya wanawake....
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Ndizi ni miongoni mwa tunda lenye ladha nzuri na hupendwa na watu wengi katika nchi mbalimbali hapa ulimwenguni ikiwemo Tanzania, ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalam...
3 Reactions
6 Replies
18K Views
Jaman nina ndugu yangu ni miaka mingi sasa amekua akisumbuliwa na tatizo hili kama mtu anafahamu dawa au ushauri amsaidie
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari za kutwa wapendwa Naomba msaada mkewangu anatoka ute ulochanganyikana na damu hali hii utokea pindi yuko kwenye siku za hatari na uambatana na maumivu ya tumbo naomba kujua kama hari hii...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari waungwana wa JF popote mlipo. Hivi kuna tatzo lolote la mtoto Kutokucheza tumboni mwa Mama yake kwa sku tatu au zaidi.. Pengne hata wiki nzima. Hapa naongelea kwa mwenye mimba ya kuanzia...
1 Reactions
15 Replies
18K Views
Wakuu nimekuwa nikijisikia hovyo mara kwa mara<mate machungu kujaa mdomon, kuumwa kichwa na uchovu>. Kuna kipindi niliugua malaria na ilijirudia rudia sana, nimejaribu kupima magonjwa mengine yote...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari wana jf. Rejea kichwa cha habari kwa takriban miaka 10 nmekuwa mfuasi mkubwa wa kuangalia porno na nadhani zmeniathiri kisaikolojia siwez kulala bila kupita kwenye site za hizo vitu...
2 Reactions
89 Replies
12K Views
Hv kwann wanaume huwa wanalia au kulalamika wanapokaribia kupizj???
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Wanajamvi habari zenu, Nasinzia sana niwapo kazini, japo ninalala sana nikiwa nyumbani. Msaada wa ushauri au dawa plz
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Habari wana JF. Naomba kama kuna mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze. Kuna meseji nimepokea toka kwa rafiki yangu ya kutahadharisha matumizi ya dawa aina ya paracetamol. Meseji yenyewe ni...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Habari wanaMMU. Naomba niingie kwenye mada bila kupoteza muda. Hivi ni kweli ukila chakula chenye mchanganyiko na mafuta ya taa(kerosene) huondoa au kupunguza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom