Hello my MMU mates
Wadau kila nikiliangalia hili paipu langu tangu nikate govi naona limezidi kuwa kubwa.
Hapo Kabla ya tohara lilikuwa si haba hadi baadhi ya totos walikuwa wana-cancel mechi...
Habari kama Kichwa kilivyo Naomba kujua hospital ya private Au laboratory ambayo naweza inaaminika Lakini gharama zake ni za Mtanzania wa kipato cha chini(kawaida)
Habari za wakati huu madaktari wa JF?
Tafadhali naomba msaada wa haraka, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ninasumbuliwa na ugonjwa wa hernia kwa muda mrefu japo dalili nimezibaini November...
Nasumbuliwa na ugonjwa wa meno kuna meno mawili siku moja nilinunua bites uswahilini nilitafuna bahati mbaya yule mama bites zake zilikuwa na mawe, nilivyotafuta niliumia sana jino likaanza kuhisi...
Hii guys nahitaj kujua kama kuna madhara ya kufanya mapenz Mara nying.... Let say labda kwa week unasex for 4 days je inaweza leta madhara! Kwa mwanaume?
DAWA ZA AINA 10 ZISIZO SALAMA KWA MAMA MJA MZITO KUTUMIA
Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito...
Although many varieties of amaranth are considered a weed, there are some varieties in the genus that are cultivated as leafy vegetables and types of cereal grain, as well as for the perennial...
KWA UFUPI
Daktari bingwa wa uchunguzi wa magonjwa ya saratani katika Kitengo cha Patholojia, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk Henry Mwakyoma na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani katika...
Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi...
Jamani naombeni msaada wenu,
Mimi nikila denda kwa msichana wangu lazima asubuhi niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi.
Sijajua tatizo nini, kwa anayejua...
Wakuu habari zenu
Nina tatizo la magoti yangu yanakuwa Kama yanawaka moto wakati nimetulia. Lakini wakati naendelea na shughuli zangu sisikii hilo tatizo.
Je tiba yake n nini hasa
Habari wadau naomba msaada mke wangu anasumbuliwa na PCOS Ni mwaka wa tano sasa anaweza vidonge bila mafanikio katika hospital tofauti.
Naomba mwenye experience na hili tatizo, Je opesheni...
Mwanaume akizeeka huota upala lakini kwa upande wa mwanamke hali ni tofauti kwanini? Mwenye ufahamu naomba anifafanulie mimi na wenzangu ambao hawana ufahamu juu ya hili swala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.