Habarini wadau
Naomba kufahamishwa madhara ya dawa ya usingizi inayotumika theatre kwa mgonjwa ambae amepewa ile dawa ,je nini kinatokea au akitarajie mara baada ya kupewa na kutokewa theatre?
Ile tabia ya ubongo kutokufanya vitu kwa wakati mfano.
Mtu anakwambia kitu unakuja kumwelewa badae Sana.
Mtu anaongea jambo la kuchekesha kwa wakati huo hata hucheki unakuja kugudua badae na...
Bila shaka mu wazima mukheri wa afya njema, imenilazimu niandike humu kuomba msaada wenu wa ushauri, sielewi ni nini kimenipata, nilikuwa na demu wangu ninaempenda sana, sababu mimi ndiyo...
Wakuu msaada.
Nilikuwa na mafua then sijatumia dawa na yakachelewa kupona na pia huwa nilkua napenga kwa nguvu na kulazimisha hadi nikapata kidonda puani.
Kwa sasa kidonda kimepona na mafua...
Nina ujauzito ambao kulingana na wataalamu niko wiki ya 33. Leo nimeshituka kidogo, nikiwa natembea kama moja ya mazoezi ghafla tumbo lilibana kwa chini ya kitovu na nikahisi maumivu kweli.
Baada...
Mimi ni kijana miaka 18 .ninasumbuliwa na tatizo la maumivu ya kifua upandewa kushoto ,pamoja na mgongoni upande wa juu kushoto.
Maumivu hayo huwa kama vile mtu anafinyavl au some time kama kitu...
Habari Ndugu zangu! Samahani sana naomba kufahamu kati ya SD Bioline na Alere Determine...kipi ni kipimo bora zaidi kwa kupima HIV. Ikumbukwe kuwa Alere was once used in Tanzania na SD Bioline...
Mimi ni baba wa mtoto mmoja, sina uzoefu na kulea watoto aidha nasaidiwa sana na wanaJF katika kujua baadhi ya mambo yanayomhusu mtoto.
Nakili nilienda clinic katika moja maeneo ninayoishi...
Habari wana jamiii
Naombeni msaada maana hili tatizo nililonalo limekuwa sugu sasa.
Ni kwamba uume wangu umekuwa ukisimama pindi nipo usingizini ila nikishtuka hiyo hali inapotea ghafla. Nikiwa...
Wanajamvi naomba msaada wa kitabibu kwani mwili unawasha sana kwa takribani mwezi sasa hadi natokewa na kama uvimbe usiku na mchana.
Sijaelewa nifanye nini na tatizo huenda ni nini. Naomba ushauri
msaada tafadhali nina rafk wakike miez yahv karibun nywele zake zilianza kukatika ghafla yaan ikabd azinyoe hata hivyo kila zikikua zinanyonyoka inabd anyoe tena.awal hakuwah kuwa na tatzo hili yy...
Kitambi ni nini katika picha:
Kitambi ni mchanganyiko wa sumu na mafuta yaliyojaa mwilini:
Jinsi ya kukiondoa:
1. Get Fit
Leading an active lifestyle will keep you young and healthy and...
Naomba kuuliza,
Wakati mjamzito anapika. Lets say akiwa amesimama kwenye majiko yetu ya gesi. Mtoto aliyepo tumboni haathiriki na lile joto linalotoka jikoni wakati wa kupika.
Naomba ushauri.Mtoto akizaliwa na kitovu kikubwa kuna uwezekano wa kukirudisha kikawa cha kawaida?Je kama ni operation Yafaa afanyiwe akiwa na umri gani?
za asbh wana jamvi
nasumbuliwa na tatizo lakuota kinyama kigumuuu kwenye kisigino
tatizo lilianza kama vile kuna mwiba mahala hapo nikawa nachokonoa naona kama upo kwa mbalii ila ninavozd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.