Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ni kipindi sasa ninahitaji kufahamu madhara ya masturbation kwa wasichana ktk nyanja zote. Kisaikolojia,kiafya,kimwili pia kiroho?
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Nimeotwa na uvimbe kama jipu shavuni!! Lakini cha ajabu ni kwamba halijawahi kuiva hata siku moja. Naomba msaada tatizo litakuwa ni nini.?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari madoctor wa jf .mimi nina uwezo wa kumaliza chakula chenye ujazo wa kindo lita kumi,je! linaweza likawa tatizo lolote tumbon mwangu?.halafu cha ajabu sipati haja kubwa nina mwezi...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Salaam wana JF Ndugu zangu naomba tusaidiane ktk hili la hawa wenzetu (wanawake) katika kukithiri kwa uotaji wa ndevu. Miaka ya tisiini hivi nilikuwa na shangazi yangu ambaye yeye alikuwa na...
1 Reactions
58 Replies
19K Views
husika na mada hapo juu dawa za dukani hazinitibu tena sasa hivi nimebandika mwarobaini ila sijui ninywe kiasi gani niweze kupona malaria,msaada wenu pls
1 Reactions
12 Replies
27K Views
Habarini za mida wapendwa katika Bwana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa mimi niliugua kifua kikuu mwaka 2012 Nilianza kutumia dawa ya kifua kikuu ndani ya mienzi miwili ya...
1 Reactions
30 Replies
14K Views
Ningependa kufahamu msichana kupitiliza hedhi kwa mda mrefu na kiuno kuuma sana na maziwa kuuma kujaaa ni dalili ya nn naomben ushauri wadau
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam. Kama kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna Rafiki angu anaomba msaada wa kitabibu, anasema Tangu achepuke na mchepuko wake wa siku zote jmos ya tarehe 4 feb 2017, amepatwa na uvimbe...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Wakuu habari yenu, natumaini hatujambo wote. Nimepata kusikia habari njema za mizizi ya mmea ujulikanao kama Ginseng kuwa ni tiba na kinga nzuri sana. Ila mizizi hyo hupatikana sana nchini China...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa miezi nane lakini mtoto wangu anatokatoka vijipu na harara nifanyeje viweze kumtoka
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Naombeni kuuliza kwamba je kunamagonjwa ya moyo yanayoweza kutibika kwa urahisi ?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habarini. mwenzenu nasumbuliwa na muwasho, kama mchomo mchomo kwenye ngozi. hii hali inanitokea ninapo kuwa exposed na jua, kwahio mwenzenu hata nje situki mpaka saa kumi na mbili. lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada mwili umekua ukiwasha sana leo siku ya nne nimejarib dawa za alej lakin bado
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za mchana ndugu zangu! Bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye lengo... Mpenzi wangu toka amenenepa amekuwa na michirizi mingi kwenye mapaja, pia hata ngozi yake imebadilika kwani...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Tumbo linauma sana!Vitu vinanichoma kwenye kuta za tumbo utadhani nimemeza vitu mithili ya misumali. Nimeshafanyiwa vipimo vingi hadi nimefika rufaa mbeya wanadai ugonjwa hamna. Sasa nikiwa na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Uodate: kwa sasa nmekiwekea ndula nmefata ushauri wa baadhi ya wachangiaji Ndugu wana .j.f, Hapa nilipo nina siku ya tatu kidole changu cha kati kimevimba sana kwa juu na kinauma, nlieda kwa...
1 Reactions
56 Replies
19K Views
Msaada anayejua kuvimba miguu kunasababishwa na nn na tiba yake ni ipi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
uvimbe katika shavu, mwanzoni nilifikiri ni matezi(tonsils) lkn siyo, una siku tatu haupungui wala hauongezeki. mda wote huo nlikuwa nkitumia septrin lakini sioni mabadiliko naomben msaada ni dawa...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Wasalaam wapendwa Ni wapi naweza kufanya Paternity test kwa hapa Dar..?? Matured comments pls
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom