Habari zenu wakuu, ipo hivi, miezi miwili iliyopita nilipata skin infection around the head of my penis, nkaenda pharmacy nkapewa sonaderm nkatumia nkaacha kuitumia baada ya kuona nmepona, ila...
Wakuu,
Nina ndugu yangu ambaye anasumbuliwa na tatizo la kusinzia kila wakati. Iwe asubuhi, mchana au usiku, anasinzia sana na tatizo limedumu kwa muda mrefu sasa.
Naomba kujua dawa ya huu...
Habari za wikiendi mabibi na mabwana!
Nimekuja na swali nnaimani kuna madokta humu watanipa ufafanuzi. Kipindi kama cha miezi mitatu nimekua nikisikia maumivu makali kwenye magoti pindi...
Msaada wana jamvi nimekuwa nikizifinya chunusi,sasa nimekuwa nabaki na mabaka meusi usoni.na ndevu pia nikinyoa zikianza kuota zinawasha sana.naomba msaada wa dawa ipi nitumie ili niendelee...
Fahamu Faida za Kula Pweza..!!!
Samaki aina ya Pweza amejawa na wingi wa virutubisho ambavyo husaidia mwili kujikinga dhidi ya magonjwa kama vile saratani kama saratani ya mdomo, utumbo mkubwa...
naomba msaada kujuzwa juu ya matumizi faida na madhara ya mkanda wa kupunguza tumbo kwa wanawake
na njia mbadala ya kupunguza tumbo hasa ya vyakula na vinywaji
Habari zenu madakitari mliopo hapa jf doctor...
Naomba mnisaidie,kwa muda sasa napata choo kama bata vile yaani kama una harisha lakini siyo,nakunya choo kinatawanyika badala ya kufyatua makimba...
Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima...
Habarini wakuu,
Nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula.
Just curious inasaidia nini? Kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria...
Ni mtoto wa kiume, ndio anatimiza mwaka mmoja. Hapendi kula, licha ya kumbadilishia chakula mara kwa mara. Mama yake humlazimisha kula angalao vijiko viwili.
Habari za mda huu ndugu zangu,nna mdogo wangu wa kike amepima ameambiwa ana bacteria ktk dam pia mkojo una sukari.pale hospitali ameandikiwa dawa aina 3 ampiclox.., flay.. (nmeshindwa kusoma vzur...
Tafadhali naomba kuuliza swali na nitafurahi kupata majibu mazuri.Ugonjwa wa tambazi ni nini?.Dalili zake ni zipi?.Madhara yake ni yapi?.Na matibabu yake ni yapi?.Mzizi mkavu na wataalam wengine...
Wana JF, naomba mnielekeze namna ya kujua tarehe (makisio)ya mwanamke kujifungua. mfano. mara ya mwisho aliona siku zake tarehe 20 januari 2010. nitawezaje kukisia?
Wakuu, habari za humu,
Naomba msaada uwa na tatizo kuwa na vipele vingi vidogovidogo usoni na kwenye kifua vinawasha sana naomba msaada kwa anayejua mafuta au sabuni ya kuondoa anisaidie jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.