Dear JF Colleagues
I have just read a very interesting article by Jen Viegas and thought it best to share with you
Evidence shows that the body keeps working to repair itself after death...
Habari zenu wakuu? Naona bado tupo Januari bhana! Ndugu zangu hili nalotaka kuuliza sijajua kama ni sehemu yake sahihi humu au vipi japokua linahusu mahusiano kiasi fulani!
Nina rafiki yangu wa...
Naomba kuuliza wataalamu, kuna tatizo lolote iwapo mtu anaosha maembe kwa kuyasafisha na sabuni kisha kuyasuuza vizuri kwa maji safi na kisha kula maganda yake?
Naomba kuuliza...Mwanamke anapokua anapata MP ya kubadilika badilika inaashiria nini?
Mfano miezi mitatu mfululizo cycle yake iko 30days kwa oct,nov na dec 2016 na mwezi jan 2017 cycle yake ni...
Habari wanajf
Nina tatizo la kulala kwenye gari hata kama ni mwendo wa kilomita mbili. Sasa sijajua ni tatizo la kiafya au la. Na kulala huwa nalala masaa nane kwa siku.
Naomba mnisaidie
naombeni usauri wa kitaalamu.
Ukiamka asubuhi ukakuta damu imetoka na imekauka sehemu ya mbele ya uume na husikii maumivu yoyote na mkojo hauna damu ukikojoa wala hupati maumivu wakati wa...
huyu ni mtoto wangu tokea hali hii imkute ni takribani mwaka sasa, amekuwa akijikuna na kuwashwa sana hasa katika hali ya joto, nimefika hospital moja ya rufaa mara kadhaa na wakasema ni arlegy...
Nilikuwa nafanya azoezi gym, badae nikasimama kwa muda kama miezi miwili kwa sababu ya ufinyu wa muda, tokea nisimame kufanya mazoezi ninapata maumivu masala sana ya mguu tangia mwezi wa 11...
Hapo mwanzo nilikuwa na mzunguko wa siku 28, siku hizi kila Tarehe 23 ya mwezi mpya ndo naanza kuona siku. Tarehe 23 hadi 23 nyingine ni siku ngapi? Na je ni mzunguko mzuri?
Maana naogopa isije...
Ni takribani miezi miwili imepita tangu nilipoomba ushauri wa kitabibu pindi nilipopatwa na tatizo la Bawasili. Kwa hivi sasa nimepona kabisa lakini nitakuwa si mwingi wa fadhila kama sitafanya...
Wadau naombeni ushauri
Wakuu habari za jioni niendr direct kwenye mada Nina tatizo la sugu kwenye unyayo na kidole kidogo cha mguu kwa juu. Wataalam naombeni mnijuze linasababishwa nanini? Na...
Habari wana jukwaa,
naomba kusaidiwa juu ya hili,kuna mtoto wa miaka miwili,muda mwingi alikuwa anakabiliwa na tatizo la tumbo la kuharisha na pia linakuwa kubwa sana.
Juzi akapelekwa Hospitali...
Wana jf Mimi nna shida kidogo.Mara nyingi kabla ya tendo la ndoa tumbo langu huwa linauma na hisia zinapoteampaka niende choon kupata haja kuu ndipo hisia zinakuja na ndipo napofanikisha kufanya...
Here are 12 benefits of drinking beer:
Beer keeps your kidneys healthy A Finnish study singled out beer among other alcoholic beverages, finding that it was better for your...
Habari za wakati huu waheshimiwa.
Mdogo wangu anatokwa na vidonda mara kwa mara sehemu zake za miguuni, amejaribu kutumia dawa kadhaa lakini hali haijatengemaa.
Je atumie njia gani m'badala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.