Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kutokana na ugumu wa maisha ...nimeamua nisiwe nakula mchana ..yaan nakula asubuhi na usiku tu....je kuna madhara yoyote kiafya? Nb: kwa upande wa jf naingia mara moja kwa mwezi na bado lile la...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
JF Doctors na ndugu zangu nyote mliopo humu naomba yeyote mwenye ufahamu juu ya damu kumtoka mwanamke kwenye umri wa miaka 45 na kuendelea bila kufika mwisho yaani namanisha mwanamke anafika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naamini hapa kuna Doctors wakuu Mimi nikinywa Supu/Mchemcho wa nyama yoyote nikaweka Ndimu na Pilipili Mdudu anakua kasimama tuu hadi kero hili Suala lilitaka kunitilia aibu kwani Mimi huwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Mimi ninapenda sana kufanya ngono, nikiwa na msichana huwa nataka muda wote tuwe tunagegedana. Huwa nikianza kugegeda msichana hukaa mikao kila aina, atalia milio yote ndipo nashusha...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wadau Mim Nina mtoto mvulana ambaye hadi sasa anamiezi 10 lakin hajaota hata jino . je hii ni kawaida? Au kunatatizo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mazoezi kwa wanaume huongeza mbegu za uzazi Watafiti wamesema ni muhimu kufanya mazoezi kwa kiwango cha wastani. Mazoezi ya nusu saa mara tatu kwa wiki kwa wanaume yana uwezo wa kuongeza kiwango...
2 Reactions
4 Replies
9K Views
1: Kama unaamka asubuhi kwenda kukimbia na kwasababu ubongo unakuwa umekauka unashauliwa kunywa maji ili kuuchangamsha ubongo na usipo fanya hivyo ukienda mazoezini unakuwa mvivu kufanya mazoezi...
16 Reactions
46 Replies
9K Views
Ninapokwenda kokote au ninapokua nchi yeyote hasa kwenye mikusanyiko mikubwa ya huwa kuna hisia unijia na zinaniogopesha sana na kujikuta nashindwa kumaliza nilichokua nikikifanya. Hisia hizi ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeanza kuona naelekea kwenye ndoa rasmi. Naombeni maelekezo ni wapi naweza pata huduma ya kupima HIV nimbebe na mtarajiwa wakatupime kwa pamoja. Naomba kuwasilisha
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Inasemekana kwamba asilimia kubwa ya mwili wa binadamu ni maji, na hata hii damu tunayoiona basi inamchanganyiko wa maji kwa kiasi kikubwa na damu kwa kiwango kidogo (kwa waliosoma sayansi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wadau, Mimi nimeoa na tumebahatika kupata watoto wawili katika ndoa, baada ya hapo tuliamua kutumia njia za kupanga uzazi(kitiji) kwa sababu kadha wa kadha, ni kweli tulifanikiwa kufanya...
5 Reactions
68 Replies
22K Views
Mtoto wangu anabanwa sana na kikohozi hasa ikifika usiku! Nilienda naye hospital ya wazaz,alipimwa na nikaandikiwa dawa,nilizunguka kutafuta dawa hiyo sikuipata then nikarud hosptal...
1 Reactions
20 Replies
19K Views
kila nikila asali najiskia tumbo linauma sana maanake sjajua kitaalamu itakuwa inasababishwa na nini? najua madoctor mpo wengi na hata kama sio doctor wee toa uzuefu wako kwa nini tumbo liume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
X ray ukipigwa Mara Tatu kwa mwanamme maeneo ya gotini na kifua uweza kuharibu mbegu za kiume au haina tatizo?watalamu kazi kwenu mnisaidie nijue
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari, nauliza naweza fanya interview na madaktari kwa ku shoot video mahospitalini???
0 Reactions
0 Replies
545 Views
kunautofauti wowote wa umri wa kutembea kati ya mtoto wa kiume na wa kike? ni umri gani mtoto akifikisha kabla ya kuanza kutembea hatotembea tena?
0 Reactions
74 Replies
67K Views
Habari zenu wakuu, Nina girl friend sehemu zake za sri zinaleta shida. tatizo lake baada ya tendo anadai anapata maumivu makali, anadai hayo yanaambatana uke kujifunga huwezi kurudia tendo tena...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari za mchana Doctors and Professionals... Katika shughuli zangu za kuwashauri watu nimepokea majibu haya ya mtu aliye tokea kupima Nguvu za kiume yaani SEMEN EXAMINATIONS.. naomba msaada wa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni ushauri hua natumia Siku nzima kugegeda mzigo wangu kama masaa 24 au narudia tendo zaidi ya mara 6 lakini nikimaliza nauwezo Wa kaa miezi 2 vipi wana JF ni tatizo hlo?
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom