Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu nadhani ni zaidi ya mwaka nilipost hapa kuwa ninatatizo la kutokwa na mabonge ya damu kwenye mbegu za kiume. Wengi wenu mlinishauri vizuri sana!! Moja ya ushauri mkubwa ilikuwa nikapime...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nawaomba wataalamu mnisaidie maana ndugu yangu anasumbuka sana viungo mbali mbali ktk mwili wake huwa vinavimba na wakati vinavimba huwa anahisi baridi kali pamoja na maumivu makali. Hali hii...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
habari zenu wanajukwaa kichwa cha habari kinajieleza, nina mke wangu ambaye ni mjamzito wa miezi mitatu, tatizo amekuwa akitapika sana hasa majira ya asubuhi na jioni na sasa hawezi kunywa maji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UBONGO ndio ikulu yako, huratibu na kusimamia kazi zote za mwili ikiwa ni pamoja na kuongea, kufikiri na kuvumbua vitu vipya. Watu wengi wanafanikiwa kiuchumi kwa kutumia vizuri ubongo wao ili...
8 Reactions
12 Replies
6K Views
Habar wakuu, katika pitapita zangu leo nimesikia watu wakizunguazia kipimo kinaitwa Ovulation Test, kwa vile siwajui na sikuwa na muda nikaona nilite hapa wataalamu wanieleweshe kinafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Baada ya kuona malalamiko mengi kutoka wa wakaka kulaumu wadada na wadada kulaumu wa kaka maswala ya usafi wa hili, nimeona kheri niji na hili kwa wale watakaopenda na kuwa na muda wa kuangalia.
1 Reactions
3 Replies
900 Views
Kuna ndugu yangu(kiume) anadai kuwa kuna vitu vinamtembea tumboni na mwili mzima.je ni tatizo gani Hilo?
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Wakuu poleni na mishughuliko ya hapa na pale kuna kitu hua nshindwaga kuelewa katika uumbwaji kwenye swala la mfumo w macho hivi ni nini hutokea hadi mtu kuwa na makengeza tena hutofautiana maana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Greetings in The Name Of The Most High Spirit and the Mother Nature. I give thanks to Julianne Victoria for the knowledge. We often ignore, misinterpret, or...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Habarizeni wa dau? Nawaombeni mnisadie mm nimgonjwa na sumbuliwa na Ulcers ambaya ni gesi nyingi tumboni ila sina vidonda tumboni! Ila natinanatumia dawa aina ya LANSOPRAZOL 30mg Kwakwel sina...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi, Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahisi ni dawa maarufu sana huku mikoa ya pwani. Je mnaojua mnaweza kuniambia inatibu nini? Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Habari wakuu , Karibuni tupate kushare tips mbali mbali kuhusu afya zetu, Iwe kwa maelezo ama kwa picha, KARIBUNI ,
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakuu Nina mgonjwa wa saratani ya titi. Kwa kutambua kuwa India kuna hosp nyingi, ninaomba kufahamishwa hosp nzuri kwa matibabu ya saratani kwa kuzingatia wataalam, vifaa tiba na isiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina mtoto ana miaka 18 sasa. Toka akiwa mtoto anasubuliwa na fangasi wa kwenye ulimi. Yaani ulimi unakuwa unachanikachanika na wakati mwingine hawezi kula kabisa na anahisi maumivu Makali...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Kuna wakati rafiki yangu anajikuta anatetemeka mwili. hasa anapokunywa pepsi au koka halafu akichelewa kula kidogo hiyo hali humtokea hata kama hasikii njaa anaanza kutetemeka ndani kwa ndani...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Salaaam jf Naomba ushaur na msaaada wa mawazo kwenu mke wangu ana ujauzito wa karibu week 32 sasa. Ameenda hospitali na akaambiwa ana tatizo la damu na wakamwambia inabidi afanye utaratibu wa...
1 Reactions
25 Replies
56K Views
Je hilo tatizo linatibika na kuisha kbsa Je ni wapi kuna clinic nzuri na daktari mzuri ambaye naweza kumuona kwa tatizo hilo?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari za kazi ndugu. Jamani tunaomba msaada wenu watanzania juu ya jambo hili gumu sana. Nina ndugu yangu kila akipata mtoto yeye na mke wake, watoto wanakufa baada ya kuzaliwa. Wanapozaliwa tu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtoto wangu miezi 6 hajakaa nn tatizo
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Back
Top Bottom