Habarini za mchana ndugu nahisi mu wazima wa afya
wapendwa naombeni mnijuze siku ya hatari ya kushika ujauzito.
Nimeanza kupata period kwa mwezi huu wa 12 (tarehe2-6) ndo namaliza naombeni...
Nina uvimbe katikati ya mstari uliopita sehemu ya paja dizaini kama toki lakini co toki cjui nini na unavimba kila cku naombeni msaada wa kujua dawa yake tafadhari
Ndugu zangu
Kama kichwa cha Habari Kinavyo sema
Mara nyingi Nimekuwa Nikifanya Mapenzi Na wanawake
Wananiambia Nifanye Taratibu Mana Huwa Nagusa Kizazi
Ebu Nipen Darasa Kidogo Kuhusu Hili...
Habari wana Jf.
Kama nilivyoainisha hapo juu, kiukweli naumwa sana na kiuno yaani nikijikunja kidogo kama nataka kuangukia nyuma napata maumivu makali sana. Kuna siku kiliuma mpaka nikaomba...
PENIS CREAM THICKNESSER Help thickening Jellia XL Penis Enlargement Cream 100 ml
Habari zenu wakuu? Dawa ya kurefusha Uume na kufanya mboo iwe nene nimeipata inauzwa dollar 300 na gharama...
Habari zenu madocta,naomba kujua kama kuna shida yoyote ama ni kawaida kwa mtoto mdogo kusimamisha uume kwa muda mrefu,sijawahi kuiona hiyo hali,ukiacha tu ule muda anapoamka lakini tokea juzi...
Ndugu,
Naomba mnisaidie kupata kunielekeza wapi naweza kupata Daktari wa masikio. Mimi niko Dar. Kwa yeyote atakae weza nisaidia naomba ani PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mungu awabariki.
Habari zenu wanajamvi...
Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu...
ana miaka 25 sio mm ummu, lakini analia na kiuno hasa akifanya kazi za kuinama kama kufua au kupiga deki amepima U.T.I hakuna kitu kwa madai yake anasema amelogwa cause alitembea na bwana wa...
Wakuu heshima zenu,
Kuna madhara gani mtu anaweza kupata kwa kunywa dawa tofauti tofauti kwa mda mrefu, yaani mfano ndani ya mwaka mzima.Dawa zenyewe ni za magonjwa tofauti tofauti kwa kipindi...
Mke wangu alikuwa na ujauzito wa miezi 8 lakini cha kushangaza ilitokea tarehe 26 December akaanza kutokwa damu tu na tumbo kumuuma sana ndipo tulipoenda hospital kupata msaada ila sikuamini...
Habari za mihangaiko wapendwa
Please naomba kama kuna Gynecologist hapa JF ani PM namba yake niwasiliane nae
ama kama kuna mtu anamfahamu yeyote mzuri na ana contact zake please anisaidie
...
Naombeni msaada ndgu zangu natarajia kusafiri kuelekea Argentina nimeambiwa natakiwa chanjo ya yellow fever naombeni process zikoje na niko mwanza kwa sasa. Hiyo chanjo naipataje?? Asanteni
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na halitosis kwa muda mrefu baada ya kupima Ct scan majibu yalikuja kama ifuatavyo
There is thickening of inferior nasal turbinates seen
There are mucosal...
KITUNGUU SWAUMU TIBA MARIDHAWA KWA MARADHI LUKUKI
Na HERIETH FAUSTINE,
KITUNGUU swaumu ni jamii ya vitunguu ambavyo kwa kitaalamu huitwa Allium Sativum ambapo hutegemewa katika kuongeza ladha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.