Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu naombeni msaada kwa anayejua dawa ya kichwa nimeamka kichwa chaniuma sana
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wapendwa poleni na kazi kwa walio kua shift usiku na pia kuwaombea kazi njema kwa walio katika majukumu ya kusaka maisha. Kama jinsi nilivyo eleza kua naombeni ushauri na pia mwenyewe kujua dawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Nilikuwa naomba nijulishwe joto la binadamu or average human body temperature ina range kuanzia ngapi hadi ngapi.Nina mafua kwa wiki sasa leo nimejipima temperature yangu imefikia...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Habari watalaamu! Nina tatizo la kupukutika kucha zote miguuni na mikononi na zikijaribu kuota zinaumuka kwa ndani halafu zinaacha na nyama inayozikamata. Tafadhali aliye mtaalamu au anayemjua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani Mimi ni mwanafunzi wa middle school nahitaji dawa au kitu chochote cha kuzuia usingizi
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Habari zenu wapendwa nawaomba munisaidie tatizo langu najihisi kua ni mjamzito mana dalili zote za ujauzito ninazo na hapa chini ya kitovu pameanza uvimbe. Tatizo langu nikwamba napata hedhi...
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Salamu ndugu na Jamaa zangu wote.poleni na pongezi kwa majukumu makubwa ya kizalendo kwa Taifa letu zuri sana la Tanzania. Naombeni ushauri waharaka mke wa rafiki yangu kutokana na maelezo ya...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Habari zenu wakuu Kwa heshima yenu mtoto anapozaliwa asipolia ni nini madhara yake , na pia ni hatua gani za kuchukua kuweza kumsaidia
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwenu madaktari vidonda vya ulimi ni tatizo kwangu nini dawa au nini nitumie nini
0 Reactions
3 Replies
807 Views
Wadau habari za saa hizi, nasumbuliwa na mguu wa kulia ni miaka miwili sasa, mi driver wa magari makubwa nimekuwa nikiendesha kwa miaka karibu 30, sijawahi kupata ajali yyte mpaka sasa lakini...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kutokwa na ute kwenye uume wakati umechuchumaa au wakati wa kujisaidia haja kubwa ni dalili za ugonjwa wa ngono?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninywe lita ngapi kwa siku za maji, ili niendane sawasawa na mahitaji ya mwili kitalaamu??
0 Reactions
3 Replies
849 Views
Habari wanaJf wote. Mimi ni mgeni humu. Ninaomba msaada wa ushauri wa kitabibu hata kimawazo tuu kwa tatizo hili linalomkabili ndugu yangu wa karibu jinsia ME Yapata wiki ya 2 sasa alianza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu.....siku za hivi karibuni nimekua na tatizo la kizunguzungu ambacho kinakuja baada ya dakika kama tano kinaisha..na muda mwingi hali hii inatokea kama kuna hali ya hewa ya baridi pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mdogo wangu wa kike anasumbuliwa sana na miguu kuuma hasa kuanzia kwenye magoti kushuka chini. Cha kushangaza kabisa ni kwamba maumivu ni makali mpaka kwenye muscles na joints kiasi kwamba hata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nasumbuliwa sana na tatizo la maumivu ya mifupa hasa nyonga mara nyingi ninapokaribia period na wakati mwingine maumivu yanakuwa muda mrefu hadi miezi miwil zaidi ni kupungua kwa maumivu tu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Samahani naombeni msaada wenu Mimi natatizo la kupumua kwa sauti yani mpaka aliyekaa karibu yangu anaona kero tatizo nini hasa na tiba yake ni yepi ahsantenii............
0 Reactions
3 Replies
831 Views
Nasumbuliwa na mba mwilini hasa kifuani na mgongoni kwa muda mrefu sasa. Hua nikitumia dawa napona lkn baada ya miezi kadhaa wanaonekana tena. Naomba ushauri na tiba.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwanza heshima kwenu. Naomba kueleweshwa kuhusu utofauti wa magonjwa haya; 1. Aleji 2. Pumu 3. Nimonia
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Wakuu,naombeni msaada,tumbo langu limejaa kupita kiasi Leo wiki na siku tatu sasa,
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Back
Top Bottom