Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Toka naanza kupata ufahamu, moyo umekuwa ukihusishwa na mambo mengi kama nilivyoyaoredhesha hapo juu. Nilipoenda shule katika somo la biologia ni nikajifunza kwamba kazi ya moyo ni ku-pump...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
UPDATE Nashukuru kwa msaada wa ufumbuzi wa baadhi ya watu na kutokana na ushauri wa baadhi ya wadau nimeaona niondeo hivi vipimo ko nashukuru kwa maelezo na ushauri pia.ahsanteni sana!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani waungwana naombeni msaada, Kwa madaktari nimetoka hospital na wife wangu tumepima vipimo vyote tuko poa ila tatizo kwenye blood group yeye ana O negative na mimi nina B positive kwa...
3 Reactions
80 Replies
15K Views
Ni kwa nini binadamu huwa anapoenda haja kubwa na haja ndogo pia inatoka hata kama ni kidogo,Lakini anapoenda haja ndogo kubwa huwa haitoki?
0 Reactions
6 Replies
847 Views
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa! natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo. Asubuhi nilikula chapati mbili na chai...
10 Reactions
235 Replies
21K Views
1.Yogurt inakusaidia kupunguza uzito maeneo ya tumbo.Kula angalau 18 ounces a day na utapungua atleast a jeans size. Inasemekana Kuwait watu wanaokula yogurt wanapunguza asilimia 22 zaidi ya watu...
2 Reactions
0 Replies
15K Views
Salamu sana wana jamii wote. Nitakuwa sijawatendea haki wamiliki wa hosp ya Kairuki iwapo nitakaa kimya. Iko hivi, hii wiki niliugua homa kali ambayo ilinilazimu kwenda hospital. Kwa kuwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wadau wenzangu Mm nina tatizo la kuumwa kwa unyayo na kisigino sana yaani unauma nashindwa hata kutembea vyema, nimetumia mafuta ya karafuu lakini tatzo liko palepale yaani inauma...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello JF kwa wale wanaohitaji supplements za bodybuilding sasa zinapatikana,price laki 3, kopo zima for ( Whey Protein, Mass Gainer, Multivitamin and More) special kwa waliokuwa na plans za...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
hello jf... je ni njia gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuremove nywele za kule chini!!!(m a v u z i) mawazo yenu....
0 Reactions
40 Replies
18K Views
Yawezekana ni tatizo la muda mrefu lakini kwa siku za hivi karibuni UTI imeonekana kuwa ni janga tena kubwa kwa wana wa kike hasahasa walo katika "teen age" .... Mahali fulani shule ya sekondari...
2 Reactions
78 Replies
11K Views
Habari za mchana wakuu kuna tatizo limenitokea kama mwezi mmoja hivi kinywa kinakua kikavu na kupoteza ladha then nakua na test mbaya mdomoni ni ugojwa gani huu? na nini Tiba yake? msaada tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Kwa wenye uhutaji waliopo dar es salaam. Wanitafute 0712195654
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Kuna ndugu yangu alikuwa anaumwa malaria kali,ikabidi awekewe catheter kwani alikuwa hajitambui. Baada ya siku mbili alitolewa huo mrija na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Lakini wakati...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, Nataka kupata mtoto wa kiume tu, kwa sasa mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja wa kike, sasa nataka wa kiume, sasa swali langu je nifanyaje? Msaada plz nifanyaje nipate mtoto wa kiume?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Je wajua kuhusu maungia ya mifupa /joints kuuma Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa taarifa yako : Nyoka hawezi kudhurika kwa sumu ya nyoka mwenzake. [emoji216] [emoji216] Haya kazi kwenu Madokta, Ndukii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
0 Reactions
1 Replies
706 Views
•Ni KINYWAJI LISHE kitamu kilichotengenezwa kwa viungo asili 174 kama matunda,mitishamba,mbogamboga,mizizi na madini •KINYWAJI LISHE hiki ni matokeo ya utafiti wa wanasayansi uliofanyika kwa miaka...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom