Nimeikuta mahali.
Inasemekana kuna homoni maalumu inayohusika na mihemuko pamoja na uwezo wa kupenda, swali ni je kuna wale watu wasiopendeka ina maana hawana homoni hiyo au kuna tatizo lingine?
Habari kuna rafiki yangu anaumwa ugonjwa huu leo imepita mwezi . Tumienda nae hospital wakampima wakasema ana minyoo ya aina mbili :-
[emoji117] MINYOO YA AMIBA
[emoji117] MINYOO YA KICHOCHO...
Siku hizi kila mtu anajua dawa hata kuliko wahudumu wa Afya wenyewe sikatai ni kitu kizuri kuonyesha Sayansi imekua lakini Je kujua kwetu dawa mbalimbali inatusaidia au inazidi kutumaliza zaidi...
Nimebaini kuwa watu wanaofanya mazoezi ya viungo huwa wanafurahia usingizi,hii ni kwa sababu viungo vyao huwa laini
Kinyume cha wale wasiofanya mazoezi huwa wanapata shida sana kutokana na kusihi...
Heshima kwenu Madaktari, naomba kujua ukomo wa umri wa mwanamke kuzaa.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33. Nimekuwa na uhusiano na mabinti wa umri chini yangu ila wamekuwa wakiniacha kwa...
Salaaam wana Jf
Ni langu tumaini kwamba mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo naomba tufahamishane kazi ambazo zinawezwa kufanywa na OLIVER OIL.
Jamani kuna mdudu (anafanana na mnyoo) anaye kaa kwenye mboga za majani pia huyo mdudu hafi kwa kupikwa unashauriwa kuosha mboga za majani kwa chumvi na maji ya uvuguvugu maana ni mdogo anaganda...
Wakuu habar ya majukumu.
Leo nimejitokeza katika jukwaa hili ili mnipe reasons za kitalaama na hata wenye uzoefu juu ya mkasa huu.
Girlfriend wangu nilikua nae tarehe 12 na tuli sex but kabla ya...
Inapotokea wafalme wa Misri, Malkia wa Ulaya, Mitume na wanasayansi wa kisasa wanakuja na kukubaliana katika jambo moja, ni mhimu kudadisi juu ya jambo hilo. Ingawa nyakati za sasa tunazungukwa na...
Habari na poleni na majukumu yenu,
Ndugu zangu nahitaji meno ya bandia, mimi nipo Dar wapi naweza kupata? mwenye kujua yanapouzwa na kubandikwa anijulishe plz!!
Nina matatizo ya meno sasa nimesha ng'oa 4 ila kuna moja liko sehemu nilisha ng'oa 2, kuna siku Dk alisema kwa sababu ni ya chini, ya juu yanaweza kushuka je kweli na kuna yeyote alisha wahi ng'oa...
Salaam wakuu
Juzi nlienda clinic lkn ni tofaut na niendayo siku zote,nest kamikaze kunipima tumbo akaniuliza ulishawH piga ultrasound nikamjibu eeh akaniuliza tena je uliambiwa una pacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.