Nina tatizo la kuumwa sana kiuno,wakati mwingine kinauma kinakuwa kama kinawaka moto hasa wakati wa usiku,nimetibiwa hospitali kadhaa kwa muda mrefu sasa (zaidi ya miaka miwili) ila sipati...
Wengi wetu hukumbana na shida za kikazi na kinyumbani, hii huleta mfadhaiko wa akili ambalo ni jambo la kiafya.
Jifahamishe jinsi ya kugundua ikiwa una shida na jinsi ya kutibu, kulipia gharama...
Matibabu ya kichwa na mimi mwenyewe kwani watu wengi maradhi hayo wanayo dalili zake Nikuumwa na kichwa upande mmoja kichwa kuuma mbele yaani usoni kuuma meno yote kusikia harufu mbaya puani...
MPANGO WA ELIMU NA USHAURI WA AFYA KUPITIA SIMU YAKO
UTANGULIZI
MPANGO WA ELIMU NA USHAURI WA AFYA KUPITIA SIMU YAKO ni mpango wa wataalam na washauri wa afya wa AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS...
Natumai hamjambo wanajukwaa wote. Jana nimesikia kituko nikacheka sana na sikuamini. Kuna mtu alitumia vidonge vya p2 ss amechelewa kuingia hedhi ss kuna siku akawa anajisikia kichwa kinauma...
Dawa za mfadhaiko
Fluoxetine (Prozac), ni SSRI
Venlafaxine, ni SNRI
Dawa za mfadhaiko ni dawa za ugonjwa wa akili zinazotumika kupunguza mivurugo ya halihisi ya moyo, kama vile mfadhaiko...
WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KUWA HAITOAJIRI TENA WALIMU WA ARTS
Akitoa ufafanuzi juu ya ajira mpya za walimu zilizotangazwa na waziri wa elimu kuwa wamezfuta ajira za walimu...
January 28, 2016
Introduction
Zika virus is an emerging mosquito-borne virus that was first identified in Uganda in 1947 in rhesus monkeys through a monitoring network of sylvatic yellow fever...
Hallow,wana JF,
Kuna kisa kimenikuta juzi kati.Mimi ni mwanaume miaka 40.
Wakati nikiwa usingizini nikawa kama naota hivi na pembeni akawa yupo binti mrembo mzuri na mrefu kiasi.
Ghafla...
Habarini wanajf
JF inawatuwengi na ni wataalamu wa mambo mengi, nimeleta uzi huu mahususi kupeana elimu na ufaham kwamba je VIAGRA inapoingia mwilini inafanya vp kazi kwa vichocheo gani, kwa...
Habary wandugu...!
Poleni na majukumu ya kila siku, dhumuni au tija ya uzi huu ningependa kupata elimu juu ya madhara ya kutumia dawa za kusisimua katika tendo la ndoa . Mfano VIAGRA, na...
Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia...
Wakuu nina tatizo hili kwa mda wa miaka mnine huwa sometime ikitokea tumbo huwa linavulugika na kuharisha sana , misuri ya korodani ya kushoto huvimba kidogo, mara nyingine ikitokea maumivu ya...
Salaam!!
Mzee wangu ana umri wa miaka 76 sasa. Amekuwa akisumbuliwa sana na maumivu makali na pia kuvimba kwa miguu (hasa ktk goti na ktk joints za vidole vya miguuni).
Tumempeleka hospitali...
JF Doctor ili tatizo linajitokeza mara kwa mara kwa huyu mwanamke niliye nae kikubwa zaid nna malengo nae!, kila tunapofanya kile kitendo yeye hujiskia maumivu tena ya hali ya juu inafikia hadi...
Wakuu
Habari wana jf kuamka mwili ukiwa umechoka sana wakati mwingine kama umefanya kazi ngumu sana,inasababishwa na mambo gani kiafya au kimazingira
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.