Heshima kwenu wadau,
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 31 ninasumbuliwa na tatizo hili;-
Wiki mbili zilizopita kuna siku nilitembelewa na girlfriend wangu ambaye tunaishi mikoa tofauti...
Habarini wanajamvi,
Sijui niliite ni tatizo maana siyo kawaida yangu. Hii tabia imenianza hivi karibuni, ninapatwa na kiu kali sana ya maji ya kunywa mara kwa mara, naweza kunywa maji ya kutosha...
Kama tunavyofahamu, nchi yetu ina aina mbalimbali za nyoka ambao pindi wakimuuma mtu huleta madhara mbalimbali ya kiafya. Aidha tunafahamu kwamba tatizo hili lipo zaidi katika maeneo ya vijijini...
Kumekuwa na taarifa nyingi kuhusu athari za matumizi ya diclopar /diclofenac na tungeomba kujua msimamo wa serikali yetu kuhusu jambo hilo na pia kama kuna ushauri pia wa word health organisation
Habarini Za Humu,
Binafsi nina muda mrefu kidogo tangu nijiunge na mtandao huu na kwa sababu hiyo ninafahamu angalau tabia na misimamo ya watu wengi humu.
Kwa survey ya haraka haraka humu ndani...
=Nawasalimia humu ndani. Nisaidieni jamani tatizo la kurithi', Tatizo langu ni la siku nyingi kidogo. Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali upande wa kulia na kushoto mwa tumbo, mara nyingi pia...
Wasalaam wanajf wenzangu natumai mu wazima mpo katika ratiba zenu kutekeleza majukumu ya kila siku... Awali ya yote napenda kumpa pole Mwana Bwiru Boys mwenzangu na mmoja kati ya waasisi wa...
Habari?
Naomba kujuzwa kama kuna dawa zinazoweza kung'arisha meno kabisa na kuondoa stains kwenye meno au njia yoyote ambayo ni salama kwa afya. (Meno yenye uchafu kama kutu hivi)
Asante
Habari wandugu!
Mimi ni mwanaume, niko na mchumba ambaye tunaishi kwa umbali mrefu sana kutokana na bado kutokua mke wangu, hivyo huwa tunakutana kwa masiku tu.
Sasa kilichonishangaza na kuomba...
Wakuu habari,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26 sasa. Sijashiriki ngono tangu nijitambue (nikue). Ninakumbuka mara ya mwisho kufanya hivyo nilikuwa na umri wa miaka 14.
Je, jambo hili...
(1) Ukila Tunda la Apple Aka Tufaha Hutoweza Kumuona Daktari.
(2) Ukinywa Maji Kwa Siku Lita 3 Hutoumwa na Maradhi Yoyote Siku nzima.
(3) Ukila Limau Moja Kwa Siku hutoweza kunenepa na hutokuwa...
Umewahi kutumia vipodozi kutibu chunusi au tatizo jingine na kukosa matokeo unayoyataka kisha ukabadilisha na kuanza kutumia vya aina nyingine? Hujawahi kumuona mtu mwingine akifanya hivyo?
Bila...
Mimi nasumbuliwa na kichwa na mwili unachemka sana na hata nguvu sina, hili tatizo limeanza Muda mrefu, nimehangaika hospital kubwa kila nikipima majibu yanakuja sina tatizo na mimi najiona naumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.