Ndugu zangu mama yangu anaumwa romatizimu nimeshindwa kuiandika kitaalamu. Anapata maumivu makali ya mikono hadi analia. Hospitali walimpa diclofenac na muvera lakini hazijamsaidia. Kwa...
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
Nasumbuliwa na mapele (upele) makubwa sana nikinyoa ndevu kwa kiwembe cha kawaida kwa mwenye kufahamu dawa au lotion yoyote ili kupunguza hali hiyo naomba aniambie
wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kujirudia kwa UTI licha ya kutumia dawa mara tatu kwa vipindi tofauti nakuwa pia na dalili za uchachu mkali kinywani kwa muda mrefu
Wakuu kumekucha poleni na shughuli,
Hivi wakuu naomba kuuliza hivi ni ugonjwa gani unamfanyavmtu kutafuna meno kwa nguvu hadi yanatoa mlio kama ule wa yale wadudu wanaopekecha ma canch au...
Kuna dada yangu ana uvimbe shingoni, alienda KCMC baada ya matibabu ya muda wakamreffer kuja Muhimbili amepimwa na majibu yameandikwa ivyo kama inavyosemeka kwenye topic, naomba kujua huo ni...
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
Nasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda sasa, tatizo langu ni chakula gani kinafaa maana nimekuwa nikitumia ugali wa mtama lakini niki pima nusu saa baadaye nakuta imepanda mara mbili zaidi...
Wakuu habari zenu?
Mimi nikijana wa mwaka wa kwanza ninaesomea taaluma ya udaktari chuo fulani hapa kwetu Tz. Nimekuwa na typhoid fever for more than 1 yr. Nimetumia antibiotics kama cipro...
Heri ya mwaka mpya wana JF, naomba kujua ni maziwa gani ya kopo yanafaa kwa mtoto mchanga chini ya miezi sita.
Mama yake asubuhi atakuwa anakwenda kazini na kurudi saa tano asubuhi,kwahiyo hayo...
Moja ya sababu za maradhi yasiyoambukiza lakini yamewaathiri watu wengi (lifestyle diseases) ni ulaji mbovu wa vyakula hasa vya asili ya wanga na mafuta. Maradhi haya ni kisukari, maradhi ya moyo...
Nina umri wa miaka 23 sikuwahi kuwa na tatizo hili katika makuzi yangu huu ni mwezi wa tatu nasumbuliwa na tatizo hii, Kama ni usafi ninajitahidi kwani mpaka kwa siku nabadilisha na kuoga Mara 2 ...
Wakuu habari zenu na heri ya crismas,,
siku kumi zilizopita niliweka Uzi hapa kuhusu kushindwa kufanya chochote kwa binti flani kwakweli iliniuma sana na nilidharaulika sana.
binti akaniita dume...
Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke.
Wasichana 56 wanafariki dunia kila siku kwa ajili ya matumizi ya kipande ki1 cha pedi ya kuwa inasababsha kansa katika kibofu na kizazi.
Jaribu...
Mara watu wanasema Maji wengine vipele vya joto Na kila Mtu anasema yake, Basi Mtu unajikuna wee Na sometime vinadevelop vijipu si Watoto si watu wazima Nyumba mzima mnashambuliwa Tiba hasa ni Nini Dr
Wadau habari zenu poleni na majukumu ya kulijenga Taifa ....bila kipoteza muda naomba kufahamu juu ya jambo hili nililolisikia mitaani . Hivi nikweli kwamba kwa manaume anapokuwa kwenye tendo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.