Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Haya makende yanatoka jasho 24/7 kama steam engine. Je ni kwa ajili ya joto au maji yamezidi mwilini?
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Habari wadau, Naomba mnijuze kuhusu mfumo wa hedhi kwa mwanamke ulivyo, tarehe ngapi mara nyingi inaanza kwa hao wanawake? Je, kwenye tarehe kama 19 inaweza kuanza? Pia je inakuwaje mpaka...
1 Reactions
56 Replies
17K Views
samani wana jamii...nimepitelewa na kadi ya bima ya taiga ya afya.. msaada kwa anayejua namba na hatua za kupata nyingine... Nwasilisha kwenu karibu ni kwa msaada
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF, naomba msaada kama hili ni tatizo kiafya au ni hali ya kawaida! Mara nyingi nikiangalia tukio la kusisimua hasa lenye kuleta furaha/faraja/huzuni kwenye tv, (movie au live event)...
0 Reactions
3 Replies
743 Views
Ndugu wanajamvi Salaam Kwa wataaramu Wa tiba Mtoto wa ndugu yangu Amekuwa akikohoa kwa muda si chini ya miaka mitano sasa. Kikohozi hicho ni kikavu, tumejaribu hospital zetu huko wilayani bila...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Habari humu kumekuwa na ongezeko kubwa sasa la dawa za kuongeza maumbile ya kiume haswa za asili na za kizungu kidogo kama pump na jelly za kupaka na wamekuwa wakisema sababu ni kuumwa...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za mchana madaktari, wabobezi pamoja, watalaam na wajuzi juu ya masuala ya afya ya watu. Ninaomba ushauri juu ya tatizo la mtu ambaye ana shida hii ya kupata mtoto. Hapo awali alienda...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Jaman vijana wezangu mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Daktari Feki Afanya Upasuaji Wagonjwa 9 na Kufariki Mmoja, Apewa Ofa ya Kujiendeleza Kielimu KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki aliyekamatwa nchini humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wana jf nimekuja kwenu tena nikiamini nitapata msaada au njia ya kupata ufumbuzi wa tatizo langu. Mimi ni binti wa miaka 25 nina tatizo linanisumbua mwaka wa tano sasa kila...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Msaada wenu wakuu, Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa. Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Dokta naomba kusaidiwa, Nimetumia antibiotic mwezi huu naona siku zangu zinapitiliza siingii kwenye mzunguko wangu wa mwezi kama mwanamke. Je, inaweza ikawa ni side effect ya dawa niliyotumia...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wadau..? Mim ninamtoto ametimiza mwaka siku chache zilizopita, mwanangu anatatizo la kugoma kula, najua mtasema ni kawaida ila I wish mngepata nafasi ya kumuona maana wapo waliosema ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
PARIS: People who shave, wax, or trim their pubic hair are at higher risk of sexually-transmitted infections (STIs), but less likely to get lice, a study suggested on Tuesday. A survey of more...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kinavo jieleza kichwa cha habari hapo juu. Elimu ya uzazi wa mpango imenipita mbali hivyo upo uwezekano nikaaharibu future ya maisha yangu. Kwa mwenye utaalam anielimishe, nisije kurudia...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
wapendwa,hivi kama mwanamke amejifungua kwa operation,anaruhusiwa kujamiiana baada ya muda gani? Coz,kuna mshono tumboni, na hata kama mshono utakuwa umepona,kutabaki na kovu! Je,hii haitaathiri...
0 Reactions
21 Replies
67K Views
Habari wakuu; Jamani mimi naomba kujuzwa kwamba hivi mtu akifanya mapenzi halafu akakaa wiki moja,je akienda hospitali kupima je vipimo vitaonesha kuwa alifanya mapenzi? Naomba kujuzwa maana mimi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Yoga Pranayama Cures 140 Diseases - Swami Ramdev Ji on Indian TV Channels Creating a "Disease Free Society - Medicines Free World" Swami Ram Dev Ji has been daily declaring on Indian TV...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Back
Top Bottom