Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jf doctors I nd u a help buddies on definition,cause,effect,treatment,and where does it affect on hernia disease
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello jf,eti ni kweli bia inaongeza damu?
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Aina mpya ya vimelea vya ugonjwa wa kisonono au "gono" ambavyo vinahimili dawa(resistant to drugs) zinazotumika kutibu ugojwa huu imegundulika duniani. Taarifa iliyotolewa na shirika la afya...
2 Reactions
21 Replies
56K Views
Hivi unapokuwa umekufa ni mlango gan wa faham huwa wa kwanza kuacha kufanya Kazi?, na ni kwa sababu gani?
0 Reactions
5 Replies
786 Views
Habari zenu wana jf...... Mdogo wangu ni mjamzito mimba kama mwenzi mmoja hivi ameenda hospitali ameambiwa ana U.T.I na TYPHOID amepewa amoxicillin 250mg atumie kwa siku kumi na anakunywa 2×3...
0 Reactions
19 Replies
49K Views
Naomba mnisaidie MTU wa diploma hii mshahara ni kiasi gani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi Mimi nauliza nini kinasababisha unaamka asubuhi unajikuta kuna eneo la mwili limevilia damu na ilhali hujapigwa hujajigonga. Hii inatokea eneo dogo la mwili yaweza kuwa...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu. Nawasilisha.
0 Reactions
79 Replies
11K Views
Habarini wadau,mm ninatatizo la kuwashwa na jicho na kutoa machozi kisha kuwa jeusi kuzunguka kope pindi ninapohisi kuumwa,husababishwa na nini.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu salaam! Naomba kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata hivi vidonge VITEX chasterberry!! Nimesoma mtandaoni ktk post mbalimbali kwamba hivyo ni vizuri sana kwa kubalance hormones za...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mda huu waungwana. Kuna hili tatizo la midadi kwa vijana walio wengi dukuduku langu ni kua hili ni ugonjwa au ni nini na linasababishwa na nini na kama ni ugonjwa tiba ikoje?! Ni hayo tuu.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Umri wangu ni zaidi ya miaka 40. Ninaumwa nyonga. Nimetumia dawa za kuondoa maumivu za aina mbalimbali bila mafanikio. Miaka miwili iliyopita nilifanyiwa operation ya kuondoa fibroids. Sijui kama...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Jamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
4 Reactions
94 Replies
14K Views
Heshima mbele wakuu, Shemeji yenu alijifungua kwa njia ya upasuaji mwaka na nusu umepita sasa, lakini kila uchao tumbo halipungui utadhani ana nyingine. Na nikumwambia atafute namna ya kupunguza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta dawa jamani,nikifanya romance inasimama vzr nilitaka kuingiza ina nywea.niinbox kama una dhamira ya kunisaidia. Nimeenda hospitali nimeambiwa tiba laki nne pamoja na vipimo,nifanyeje
4 Reactions
44 Replies
10K Views
Samahani wadau, mke wangu kaharibikiwa na mimba mbili, baada ya kufanya vipimo ikagundulika kuwa makundi yetu ya damu hayafanani kwasababu mke wangu ana o- na Mimi nina o+ hivyo hupelekea mimba...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Wakuu heshima zenu. Zakari yangu inasimama vizuri kama msumari, usiku mara nyingi inasimama yenyewe bila hata kugusa, ila mchana ni nadra mpaka uiguse kidogo.Je ntakuwa na tatizo. Nawasilisha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kufuatia suala la uzazi wa mpango, sasa hivi kuna njia ya wanaume nao kupanga uzazi kwa kufunga kizazi na kuto kuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke. Unakuwa unaweza kufanya mapenzi tu pasipo...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Habari zenu... Jamani nimekua natokewa na vipele kama vya mbu sehemu tofauti,mara kune mguu,mara mkonono mara kune paja except usoni..... Halafu baada ya siku chache vinapotea... Yani...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
kwaza za jioni.... naomba nisaidiwe nijue kama nimeshika mimba au laaaa...nimesex 31 juzi wthout kinga nina wasiwasi huenda nikawa na mimba mara ya mwisho kwenda period ilikuwa octor 16 mzunguko...
0 Reactions
31 Replies
15K Views
Back
Top Bottom