Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana Jf Kuna mschana alijifungua akiwa na umri mdogo kwahiyo alifanyiwa operation kwenye njia ya kizazi ili mtoto apite (Episiotomy). Sasa tatizo ni kwamba analalamika sehemu zake za siri...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Watalaam salamun. Naombeni kujulishwa juu ya chanjo wanazochanjwa watoto wadogo sehemu mbalimbali za miili yao, ambazo huwatesa kwa kuwa huwa ni kali sana. Chanjo hizi ni universal au wazungu...
0 Reactions
52 Replies
17K Views
Habari zenu wazima! Nahitaji kujua mwanamke ukiwa unakutana na mwanaume mara moja kwa mwezi au zaidi ya miezi 3 unaweza kupata matatizo au ni vizuri zaidi unatunza mwili? Na kama ni matatizo ni...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu Ndugu! Mimi ni kijana mwenzenu nina mtoto wa kike tayari sasa hivi nahitaji mtoto wa kiume. Je, ni taratibu gani naweza kuzifanya ili kupata mtoto wa kiume kupitia mzunguko wa siku za...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Nina Mdogo wangu ameungua kwa moto maeneo ya goti, sijui nifanyaje kwani kimejaa maji
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imetokea kwa binti mwenye ujauzito wa miezi saba mtoto akaacha tu kucheza pasipo sababu takribani siku tano sasa, ila kipindi cha nyuma alikuwa anaumwa tumbo sana akafanyiwa uchunguzi hospital...
0 Reactions
8 Replies
34K Views
Ni kama week ya pili sasa tangu nitoke nyumbani TANZANI nakufika hapa LUSAKA ninajisikia homa kali kali nikajua ni maralia nimekunywa dawa Sp, bado najisikia vibaya mbaya zaidi miguu inakua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dada yangu ni mjamzito wa miez8 tatizo kaambiwa fuko la uzaz limeshuka sana, halaf kama wiki hivi anahisi maumivu ya kiuno kama ametunza taka (majipu) na chini ya kitov na K vinauma sana, je ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello...nlikuwa nauliza mimba ya wiki 2 inaweza kuonekana kwenye ultrasound? Maana nataka nijue kama imetunga mahari panapostahili maana nyngne zote za nyuma ziliharibika ya kwanza sikupima...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu, kuna wakati nikila kitu huwa nahisi kama joto tumboni hata kama maji ya baridi japo sio mara zote ni mara chache sana hii husababishwa na nini?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello drs naomba Tujadili kidogo kuhusu Matibabu ya Malaria Kali kwa mtu mwenye sukari ya Kupanda. Kuhusu Guideline ya Tanzania Wamegawa matibabu ya Malaria kwenye magroup matatu Kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu.. Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe...
5 Reactions
121 Replies
14K Views
Habar docta nin rafiki yangu ni mama kijacho anaumwa miguu San na kuvimba pia tatizo n nn na ameambiwa aende Hosp akapime kipimo cha doplo aghakni mguu 1 laki 3 je n tatizo kubwa n nn madhara pia
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za usiku. Jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani? maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka. Naweza kaa kitandani...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu Kwa heshima yenu mtoto anapozaliwa asipolia ni nini madhara yake , na pia ni hatua gani za kuchukua kuweza kumsaidia
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hello jf,hivi ni nini husababisha moyo kwenda kasi sana na mwili kuishiwa nguvu?
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Nasumbuliwa na jicho la kushoto km siku 2,na leo limevimba.dawa yake ni ipi ipunguze maumivu na uvimbe
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Engineer msomi, 36 years old. Yuko mascular, jitu la miraba minne, urefu futi sita na nchi kumi, manish face, kichwani yuko njema na mfuko umenona. Kitandani bao 1 ndàni ya dakika tatu, je...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari wana jamvi..naomba kujua mahusiano yaliyopo baina meno na bati/sinia..mimi mwenyewe niko hivi mtu akisugua sinia la bati kwenye sakafu au mchanga kile kijisauti kinachotoka huwa kinanifanya...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.
0 Reactions
35 Replies
44K Views
Back
Top Bottom