Nina rafiki yangu kipenzi tumetoka nae mbali sana siri zangu zake. Tunaisha pamoja kama ndugu sasa. Tulikutana Alevel huko Moshi na ndipo urafiki wetu ulipoanzia, bahati nzuri tulichaguliwa chuo...
Nimekuwq Naumwa ugonjwa tumbo linauma kila ninavyotaka kwenda haja kubwa na nahisi kuharisha lakini nikifika msalani ni kiduchu sana kinatoka, nikamwona mtaalam mmoja duka la madawa akanipa...
Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini.
Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.
Kipimo cha tezi dume ni cha kumdhalilisha anaepimwa kwa maoni yangu. Maana nmeambiwa ni lazima dokta aingize kidole mkunduni.
Hivi inawezekana nikajipima mwenyewe nikipewa maelekezo? Ma Dr...
Wadau toka juzi nimepatwa na maumivu makali kwenye kidole, mara baada ya kuuliza nikaambiwa kuna mdudu kaingia kidoleni, so kwa sasa nina hali ya maumivu makali eneo la kidole cha kati.
Mwenye...
Kwa baadhi ya watu kitunguu saumu kina harufu mbaya, wengine huweza kuharisha, kuamsha vidonda vya tumbo au kusababisha harufu mbaya mdomoni.
KWA UFUPI
Kitunguu saumu ni miongoni mwa viungo...
Aina za magonjwa ya zinaa, ishara na dalili zake
STDs ni magonjwa ya zinaa, pia hujulikana kama maambukizo ya zinaa (STIs). Kwa maneno mengine ni maaambukizo yanayopitishwa kutoka kwa mtu...
Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini.
Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.
Habari zenu wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jamani mwenzenu nina matatizo ya meno kutoboka. Mwaka jana nimeng`oa meno mawili ya Chini , jambo la kusikitisha mwaka huu tena ninaumwa...
Salaam.
Naombeni msaada kwa anaye fahamu, Mimi ninatatizo la nyayo kuwaka Moto, ila juzi juzi nimepaka kitunguu swaumu miguuni Na matokeo yake Ni kwamba; MAUMIVU YALIYOKUWA KWENYE UNYAYO MZIMA...
Nina tatzo la vidonda vya tumbo kwa muda wa miaka miwili lakin toka nimepata maradhi hayo na mwaka huu yameambata na mengine.
Kama nikiwa na msongo wa mawazo basi tumbo linanisumbua likiambatana...
Indian doctors sue Bill Gates for harming children with deadly 'humanitarian' vaccines
Jisomee hiyo habari uone kitu ambacho Billgate analalamikiwa India
Habari za humu wana Jf
Ninaomba kufaham ni wapi au njia nnaweza kupata dawa ya ugonjwa wa uhanithi.Nina rafiki yangu ana hilo tatizo dushe yake inasimama kwa mwaka mara moja tu.
Je kuna tiba ya...
Wakuu zangu I hope you are doing good with your daily activities. Mwennye ufahamu na hiyo dawa ya Jiko alete mrejesho please. Have a great day you guys.
A new experimental HIV vaccine, when combined with a compound that stimulates a person’s immune system, demonstrated potential for a path to curing HIV.
The small study, involving rhesus monkeys...
Niaje wazeiyaaah
EBANA SAWA :
Bila shaka nimefanya kitu inaitwa Right content into the wrong group..
Just because wengi mko ACTIVE zaidi huku....
Sasa mazee leo sina story za demu wangu wala...
1) Ni kitu gani kinacho-connect penis na anus?
2) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati unajisaidia haja ndogo?
3) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati wa...
Habari wana Jf,
Naomba nielezee tu kwa ufupi nilifanyiwa operation nilikuwa nina tatizo la disk ku collapse ambalo lilipelekea mishipa ya damu kushuka chini miguuni kubanwa nikashindwa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.