Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hili limekaa kibaiolojia, kisaikolojia au kidentist zaidi. Je ni kwanini baadhi ya watu huwashwa ama kuumwa na meno iwapo sinia au kitu cha bati kikisuguliwa kwenye mchanga? Natumai wataalamu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Et wadau vidonda vya tumbo vina tibika kabisa au huo n ugonjwa wa moja kwa moja na tiba nzur n ipi m vinansumbua sana
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakohoa leo ni siku ya nane na ni kikohozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
The main reason for cancer is mutation such that cells losses their ability to control multiplication as well as genetically make up. I think this mutation is as the results of body trying to...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Axe kunadhana imejengeka kwa baadhi ya watu kutojihusisha na kazi flani wakiamini kuwa ni za kike. Binafsi nilikuwa naamini kuwa wanao somea u nurse wanawake tyu,hivyo kwenye sekta ya afy...
2 Reactions
4 Replies
841 Views
Habarini za asubuhi wapendwa. Napenda kujua kuna nguvu gani katika kupiga Miayo/yawning. Nafahamu miayo inamaanisha uchovu/usingizi sasa kwann ukimuona mtu anapiga mwayo lazma na ww utaiga...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari wakuu, Sumu mwilini hujumuisha vitu vyote vinavyodhuru au kudhoofisha utendaji wa mwili na huingia kwa kuvuta kwa hewa,chakula au mabaki mbalimbali ya mifumo ya mwilini na ili uendelee...
12 Reactions
26 Replies
31K Views
Ni vyakula gani vitasaidia kupunguza gesi tumboni?
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Hello Jf Doctor, Kuna jambo linanipa utata wa majibu kila napolifikiria. Kwanza kabisa pongezi kubwa ziwafikie wahusika wakuu na waanzilishi wa Project ya Mwendokasi Dar (UDART) Ila...
1 Reactions
4 Replies
955 Views
Naomba kuuliza gharama za upasuaji wa Mifupa MOI ikoje Kuna bro wangu alitibiwa kienyeji sasa mfupa unaunga vibaya, hivyo anapaswa kuvunjwa na kuungwa upya
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kaka yangu anamadoa madoa meusi mgongoni saivi ina miaka saba dawa yake nini?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba msaada kuhusu period ya mwanamke je? ntawezaje kujua siku salama na za hatari kwa mwaanamke.
0 Reactions
24 Replies
16K Views
Naomba mnisaidie contact au address au jina la hosipitali na mahali ilipo ya daktari special wa magonjwa ya wanawake. Iwe ni ndani ya Dar. Thanks in advance.
0 Reactions
6 Replies
14K Views
best way how to stop masturbation :how to quit masturbation fast guide best guide to stop masturbation before reading this guide i just want to tell you that if you find this site helpful , help...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Habarini wanajamvi, Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Huwa nakula vyakula mbalimbali ila sijui ladha hii ni ya kirutubisho kipi! Nasikia kuna virutubisho saba i.e proteins,carbohydrates,fats,vitamins,mineral,fiber na water. Ladha ninazoomba...
1 Reactions
5 Replies
727 Views
Ndugu zangu naombeni mnisaidiee juu ya hili tatizo. Juzi nimenda hospitalini kumwona Dr nikamuelezeaa kuwa tumbo linaniumaa na naharisha vitu kama makamsi sikupima ilaa aliniandikiaa dawa ambazo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano inasemekana kuna HIV determiner yenyewe inadetect HIV after two weeks; kuna nyingine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaka yangu anamabaka mabaka meusi mgongoni yani imekuwa INA miaka 7 saivi msaada wenu afanye nini?
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Dawa ya mabaka mabaka meusi mgongoni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom