Habari waungwana, mimi ni mgeni humu
ila nina tatizo, ni kwamba nimepatwa na hali kama week sasa, ya kuwa na hamu ya kujamiiana wakati wote,yani mind yangu hata nikiwa sehemu isiyohusika gafla tu...
dr's naombeni msaada kwa tatizo langu. Nasumbuliwa na ugonjwa ambao hata nashindwa kueleza! wiki ya tatu sasa nasumbuka kichwani upande wa kulia karibu na sikio maumivu nayapata sana nimeenda...
Habari JF!
Najua humu ndani kuna watu wana akili sana, hivyo kwa michango yenu najua nitatatuliwa huu mtego nilionao.
Mke wangu amejifungua salama mtoto wa kike hivi majuzi, mtoto ni mzuri na...
Habari wapendwa,
Nina swali, nini kinasababisha infection kwenye damu kwa watoto? Nina mtoto yaani inaenda inajirudia rudi.
Tiba yake ni nini ili kuitokomeza kabisa?
Wadau,
Natumaini hamjambo.
Nina mdogo wangu wa kike nilimpeleka hospitali moja ya wanawake, lakini madaktari wengi niliokuta ni wa kiume.
Picha hii haikuwa ngeni kwangu kwani niliwahi kupeleka...
Wakuu nataraji wote niwazima wa afya, kama tunavyojua wote rushwa ni kosa kwa sheria ya nchi na pengine kwa Mungu, kwa mtoaji na mpokeaji.
Swali langu mimi ni ikiwa mgonjwa mwenye hatari ya...
jamani naomba ushauri wa kitaalam, mimba inatungwa kwenye uterus au wapi? Kuna dada mmoja ana mimba ya mwezi kama na nusu hivi, anadai mimba imetungwa karibu na cervix, alienda hospital...
Habari wapendwa! Ngozi yangu (sanasana mikononi) imekuwa na ukawaida wa kuonyesha mishipa mikubwa na minene ya damu (veins) kiasi kwamba imekuwa ikivuta attention za watu pindi wakiiona mikono...
Habari wanajamii
Tatizo langu ni kwamba mchumba wangu ni mjamzito juzi nilimpeleka clinic akajiandikisha tukapewa dawa za kuongeza damu jina nimelisahau,,,
Tulivyotoka clinic kuna sehemu tukaenda...
msaada jamani mke wangu anapungukukiwa damu akiwa na miez 3 alienda clinic alipimwa damu ilikuwa 11.4 na Ameenda tena aliambiwa damu imepungua tena na sasa sms miezi mitano na ameambiwa damu ni 9.9
Wakuu wa JF doctor
Mdada kapima Ultra Sound na Imeonyesha Kuwa Mimba ina week 6 ila Hakuna Fetal pole wala York sac na Conclusion ni Kwamba ana Anembryonic Pregnancy kwamba Mimba yake haikui Na...
Kwa mujibu wa Daktari bingwa wa Saratani Mama Dominiki Kombe anadai matibabu ya saratani ya tezi dume yanapunguza au kuua kabisa nguvu za kiume.yaani iwe kwa matibabu ya sindano,vidonge ama...
Habari za majukumu wa ndugu.
Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada
Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2. Naomba ushauli wa kitabibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.