Wadau,
Nasumbuliwa na tatizo la ngozi ya uso kubabuka au kupauka yaani nikipaka mafuta baada ya mda unapauka sijawah kutumia mkorogo wa aina yoyote nlienda phamacy wakanipa cream ya kujipaka ila...
Moja ya maajabu yanayowashangaza wanasayansi ni ukweli kwamba kipindi cha ujauzito ubongo wa mwanamke hupungua size yake na kusinyaa, hali inayopelekea pia kushuka kwa IQ ya mwanamke.
Kutokana na...
Utangulizi;
Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko mwili...
I hope nyote n wazima napenda kulileta swali hili kwenu wataalam wa mambo.... Mvulana akiwa ana sexyy alafu ikafka hatua ya ku ejaculate akaamua kujibana ili msicha aanze yeye je? Kitendo cha huyu...
Nina misuli mingi mingi mikononi hadi nakosa amani na nashndwa kuvaa shati la mikono mifupi hasa kipindi cha jua kali (mchana)
Mwenye kujua kama kuna mafuta ya kupaka au dawa za kutumia ili...
Tofauti na watu wanavyofikiri kuwa chumvi ikiwekwa kwenye kidonda husaidia kuponya kidonda haraka na kukisafisha kisikaliwe na bacteria, lakini tafiti na uzoefu unaonyesha sukari ina nguvu ya...
Wanajf mimi nasumbuliwa na macho kwa muda mrefu.Yanawasha mara kwa mara na ni mekundu.Nimefika mpaka CCBRT wakanipima na kusema yamejaa vumbi ila kwa madawa waliyonipa wakadai yatanisaidia sasa ni...
Mhusika alitumia kwa ajili ya kuondoa makovu usoni. Ameipenda na angependa kununua zaidi sema amegundua kuwa hapo wanapouza wanalangua bei (wanauza bei kubwa mno) ukilinganisha na bei yale halisi...
MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO SOMA.. USIPUUZE.!!
Azam Company ni kampuni inayorisha watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara..
Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa...
Hallo wataalamu/Drs...tusaidiane juu ya hili. ni kipi kinachosababisha maumivu makali wakati wa kujifungua?
Ni Pathophysiology/mechanism gani yahusika hapo??
Karibuni kwa michango.
Wana jukwaa nawasalimu.
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kuhusu kidole kuvimba maarufu kama mdudu.
1. Je uvimbe wa kidole kutokana na mdudu unasababishwa na nini hasa?
2. Ni nini tiba mbadala ya...
Kuna ukwel wowote hukusu kama mke wako akiwa mjauzito mume wake akajisikia vibaya kutokana na mimba ya mke wake ( kijisikia vibaya ,mwili kuchoka ) na kama kweli tiba yake ni nn?
Ni wa kiume ametimiza mwaka na miez 2, anatembea tayari. Sasa yapata wiki ya pili anaharisha. Mwanzo aliharisha kitu kama mafuta, sasa hivi bado anaharisha kweli kweli. Dawa bado hazisaidii...
VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA
Vyakula tunavyokula vinachangia sana chemistry ya miili yetu kuhusiana na suala la hamu ya mapenzi (libido) PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi...
Wakuu naomba kufahamishwa hili suala,
Tabia ninazozizungumzia hapa ni zile za kurithi au za kibailojia. Udogoni niliwahi kuumwa sana mpaka kupelekea kuongezewa damu na jamaa mmoja wa familia...
Habari wakuu, nimeshango'a meno 3 na sasa mawili tena yameliwa, mawili nimeziba, naona sasa nitapoteza yote. Naomba mwenye kujua tiba kamili na yenye mafanikio tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.