SIRI imekuwa wazi: SARATANI si ugonjwa bali BIASHARA!
HEALTHBY NEWSRESCUE.
SEPTEMBER 23, 2016.
*Na Profesa Nandita deSouza kutoka Chuo Kikuu cha Cambridge*:
Neno kuitwa saratani ni uongo ...
Kwanza habari zenu wanajamvi wote Kwa ujumla.Mimi Nina tatizo la kuishiwa damu Kwa baba yangu yaani damu inamuisha tuu Na kila baada ya week Tatu au nne anabidi aongeweze damu. Tulikwenda kila...
Wakuu... mara kadhaa huwa napitia matatizo fulan na huwa natamani hata kulewa ili angalau niyasahau kwa muda mfupi. Lakini sijui ni tatizo au ni faida... kila nikinywa pombe kiasi chochote kile...
Naijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi...
Ndugu Yang Anakipara Angali ni bado kijana..hivyo basi anauliziaa je Kuna dawa zozote za asili au mitishamba itayomsaidiaa coz hakipend katika ujana wake pia anapenda Timberland lkn hana vp anaeza...
Habari wana JF
Napenda kuuliza nini madhara kwa mwanaume au faida ni zipi pale mwanaume anakaa muda mrefu bila kufanya mapenzi yaani kukutana na mwanamke kimapenzi.
Ukiacha zile za kusave hela...
Wakuu
Nisipotimiza malengo yangu niliyopanga nakuwa stressed sana sijui sababu nini mfano nikipanga naenda kukimbia kilomita tano nikaishia mbili nakuwa stressed hadi sijielewi,pia nikipanga...
Kwa wataalam naomba kujua nna michubuko midogo midogo Kwenye lips zangu inachoma choma mithili ya pilipili.
Je Ni ukosefu wa nutrients flan pia tiba yake ni nini tafadhali
Wakuu wa nchini naomba kuuliza hivi, hivi kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia Dawa za asili na kupona huu ugonjwa ,please kama yupo naomba tuwasiliane please. Maana nimezunguka kwa watoa huduma ya...
Ndugu zangu naomba msaada wa ushauri au tiba kwa anayejua
Ninaye kaka yangu, tangu akiwa mdogo hakuwahi kupatwa na tatizo la kuzimia
Tatizo ili limejitoka kwa mwezi huu imetokea mara mbili, na...
Lucky Choi has been thinking about making music again.
He’s played piano, at times professionally, his whole life. But he stopped composing original pieces in the early 1990s. The last time he...
Kuna jamaa yangu jana aliniambia kuwa mafuta ya mamba ni dawa ya vidonda vya tumbo, kuna jamaa yake alipona kabisa vidonda vya tumbo. Kuna raia huu ndani alishasikia kitu kana hiki au alishajaribu...
Wanajukwaa habari za muda,
Naomba msaada wenu nawezaje kupunguza mwili na tumbo, ukizingatia nakuwa bize sana kweny kazi. Nakuwa na muda mchache sana nakuwa free.
Msaada wenu wa mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.