Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ni dawa inayoondoa unyevu wote kwapan mwenye uelewa wa hio dawa inapopatikana atujuze kwa faida ya wote,na maduka hasa inapopatika
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii njia ya kufanyiwa massage sehemu zenye mafuta, nilioona nchi fulani nikiwa safarini, gharama yake ni kuanzia $200 kwa session moja na session inachukua li saa. Ukiingia unapewa pichu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wadau,naomba kujuzwa gharama ya vipimo vinavyohusiana na moyo pale aga khan hospital
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke kupitiliza muda wa hedhi hata kama tarehe husika imefika?kupitiliza huko kukafikia hadi wiki 2 mpaka 3..naombeni maelekezo wataalam
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wana JF, naomba mtizame kiambatanisho
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi wakuu,karanga mbichi zinasaidia muhogo kusimama au zinasaidia muhogo kutoa wazungu wengi?
2 Reactions
58 Replies
11K Views
Kwa asili sehemu ya siri ya kike yenye afya nzuri inapaswa kuwa na harufu kali na mazingira ya utelezi yasiyomtamanisha mtu kuyaramba wala kunusa hata kidogo. Hii inatokana na kwamba haitakiwi...
22 Reactions
144 Replies
38K Views
Jamani mwenye kujua dawa ya Driclor inapopatikana kwa Mbeya na Dar anijuze ni maduka yapi maana nimetafuta hadi nimechoka. Kila nikienda dukani wanasema labda ni jina la kampuni. Naomba nisaidiwe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi, Imekuwa kawaida sasa kwa wazazi kuwa kazini muda mwingi zaidi ya nyumbani. Kinachofuata ni kupishana na watoto na kuacha jukumu la malezi kwa dada wa kazi. Mtoto anahitaji malezi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Ivi kuna madhara yoyote yakitabia na kisaikolojia au kimahusiano anayopata mtu aliyelelewa na mzazi mmoja labda mama peke yake au baba peke yake,ni jinsi gani kukabiliana nayo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu.., Kwa muda mrefu sana labda tokea huko tunakuwa..nimekuwa nikisikia ukila tango na asali pamoja unakufa. ..kwa mwenye utafiti anifahamishe
0 Reactions
24 Replies
30K Views
salaam wadau, baada ya hofu na kukwepa kwepa kupima mdudu kwa zaidi ya miaka 18 hatimae jana nimepima na nimejijua nipo kundi gani, sasa hivi naishi huku nikijijua, ila jamani kupima huyu mdudu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF Doctor amani na iwe kwenu, Mimi ni kijina mwenye umri wa miaka 27, nina tatizo moja, nikitumia condom katika mambo yetu, jamaa yangu anakuwa weak na kukosa hamu kabisa na kulala...
0 Reactions
140 Replies
40K Views
Miguu na mikono kuwa na ganzi,macho kuona ukunguukungu ama kuhisi kama uchachuuchachu machoni hasa ukifumba macho.. doctors msaada tafadhali
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Samahani,nimeona kwenye mtandao mizizi ya licorice ni tiba,sasa nauliza kwa kiswahili ni nini..na naweza nikaipataje?
0 Reactions
4 Replies
19K Views
Hivi ni kwanini mwanamke anapokuwa mjamzito huwaga ana matatizo kupita kiasi? Mfano anaweza kumchukia mumewe, kula vyakula visivyoeleweka kama udongo, panadol na vitu vingine kama hivyo.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu, Nimerudi tena, hivi inakuwaje msichana kabla hujamuandaa mnapotaka kufanya mapenzi anatoka ute ute mwingi sana, mpaka inakuwa hakuna haja ya kumuandaa,? Hii husababishwa na nini?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wana JF Nina tatizo naomba msaada wenu, ni mwezi na siku 5 leo mtoto wangu tangu azaliwe, ila shida hadi leo nashangaa hajakauka sehemu ya kitovu chake. Naomba ushauri wenu kama kuna dawa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna dhana kwamba ukiwa umelala usiku ukakajikuta umekabwa na kushindwa kabisa kujisogeza ni kutokana na jinamizi, hili jinamizi ni nini au kuna sababu za kiafya zinazosababisha hali hiyo? je kuna...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom