Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba msaada wa tiba kwa mikono kuuma hasa wakati wa usiku (nikiishalala)
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari yenu, Nilikuwa naomba msaada wa dawa au chakula cha kula ili niwe napata usingizi, maana nimechoka kukesha. Huwa napata usingizi saa kumi usiku na naamka saa kumi na moja alfajiri kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
  • Closed
Habarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu...
2 Reactions
156 Replies
24K Views
Wadau habar,naomba mnisaidie WAP naweza pata becozinc g capsule.tafazal naomba msaada
0 Reactions
3 Replies
839 Views
Ndugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu! Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kwa wiki nzima nimekuwa na tatizo kwenye njia ya haja ndogo,kuna muwasho fulani hivi na kama moto unawaka kwa ndani.Nimecheck U.T.I hakuna,STDs hakuna.Sasa Doctor kaniandikia kesho alfajiri...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kipindi kumekuwa na vijana weng wanaolalamika kuishiwa au kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na kupga punyeto. Naomba tuweze kujuzana, hili tatizo linaweza kutibiwa hospital au kwa miziz...
0 Reactions
8 Replies
823 Views
Habari wanajf, Ningependa kufahamishwa ama kuelimishwa juu ya hili tatizo, mpenzi wangu ana ujauzito wenye umri wa miezi minne,sasa hivi amevimba miguu yote huku analalamika kuwa mwili mzima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, nimekua nikisoma forums nyingi huko google kuhusiana na hii kitu "water fasting"...kuna wengine wanasema mwanadamu hawezi kumaliza siku tano kwa kunywa maji tu atakufa. Wengine wanasema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mtu anatatizo la kutokwa na vinyamanyama akitaka kunisaidia haja ndogo katumia dawa Sana kapima UTI lkn nothing tatizo inaweza kuwa nn naomba Msaada
0 Reactions
13 Replies
936 Views
Eti wadau, Mimi ni kijana nina miaka 22 nimehitimu kidato cha sita hivyo najliandaa kuingia chuo hivi karibuni. Sijawahi kufanya mapenzi mpaka umri huu, nimekuwa mwoga sana kwa wanawake, hivyo...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Natumai wote mu wazima wa afya Jamani nina shida kidogo. Nina mdogo wangu wa kike alipata ajali ya kumwagikiwa na mafuta yaliyokuwa na moto tukampeleka hospital bahati nzuri alipona lakini tatizo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mfadhaiko Mfadhaiko ni nini? Ni hali inayotokana na shida, matatizo au dhiki. Jamii, pesa, kazi, na shule ndio chanzo kikubwa cha mfadhaiko. Watu wanapokumbana na hali ya mfadhaiko huleta...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Unajua Madhara ya Dawa za Kusimamisha Uume Kwa Muda Mrefu? Kuna baashi ya wanaume wanatamani wakati wakiwa wanafanya mapenzi na wenzi au wapenzi wao basi uume zao ziwe zinasimama muda mrefu...
3 Reactions
23 Replies
21K Views
Mimi ni kijana nina miaka 22.. Mpaka nafika umri huu sijawahi kufanya mapenzi ..nimekuwa nikiishia kuwataman madem kila siku ila kuwaambia naogopa. Vipi wadau hii ina madhara kweli? Na kama yapo...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Salaam wakuu Mimi ni mjamzito wa miezi mitano,tatizo nililonalo nasumbuliwa na jino sana nadhani wengi tunajuwa jino jinsi gani linauma. Sasa jana nkamwambia ndugu yangu fulani azimio langu la...
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Kuamua na kutamka mtu kafa ni kazi ya daktari, daktari anafundishwa namna ya kumtambua mtu aliyekufa. Ili daktari aweze ku declare kuwa mtu amekufa kuna mchakato na mlolongo mrefu wa matukio na...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Hivi mke wako akijifungua ni baada ya mda gani unaweza kumuingilia kwaajili ya kufanya tendo la ndoa bila ya kumsababishia matatizo ya kiafya?
1 Reactions
0 Replies
761 Views
Salama ningependa kujua kiundani mahusiano ya meno ya juu na kichwa sababu nimesikia case ka mbili ikiwa mtu kakosewa kung'olewa na kumsababishia kifo asante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hizi ni dawa hatari kwa figo zako Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom