Wakina dada kuwekeni makini na vipodozi vyenu mnavyotumia...
Madini chuma aina ya lid yanayopatikana kwenye vipodozi hivyo zaid ya 650 ni hatari sana tena sana, (kwenye rangi za kucha, kuset...
Natumai mu wazima wa afya.
Naombeni msaada wenu tafadhali ni sababu zipi husababisha kiuno kuuma mara kwa mara hasa nyakati za jioni kwa mjamzito wa wiki kama saba hivi.
Tatizo hili limedumu...
Wadau hamjambo?Nina vijana wangu wa kazi za shamba wawili.Bahati mbaya wote wana malaria na nikawapa hela wakanunue dawa.Bahati mbaya walikwenda maduka ya dawa tofauti.
Duka A. Mhudumu anasema...
Salareeeeeeeeeee!!!!!
Ndugu zangu tu_share mbinu kidogo za kuongeza confidence na discipline tuwapo kitandani.
Chukua mzizi wa mpapai uoshe, utwange na kisha uchemshe hakikisha unabakiza glas 3...
Wakuu habari zenu
Leo kuna rafiki yangu kanifata akaniambia anakumbwa na tatizo la kukosa msimamo leo akiamua hili kesho anaamua jambo anaona linafaa kesho anabadili na hawezi kusimama peke yake...
Utafiti uliofanywa umeonyesha kuwa wanaume wengi wako kwenye hatari kubwa ya kuapwata na matatizo ya uzazi kutoka na kulala sana au kulala chini ya kiwango kinachotakiwa.
Kwa kiwango...
KUNA magonjwa mengi yanayosababisha mtu kukojoa udenda (usaha), uume kuuma au kuwasha wakati wa kukojoa.
Magonjwa yanayosababisha hali hiyo kwa sana ni pamoja na klamidia (chlamydia), kisonono...
Nimegundua wanaosomeshwa number bila huruma sio watumishi wa umma,watumishi tunasomeshwa number lkn afadhar ukifika mwisho wa mwez kama jana wameweka kamshahara kao kasikokuwa na ongezeko pamoja...
Hivi karibuni nimesikia watu wakidai kutibu HIV/AIDS. Nikarusha uzi siku chache zilizopita wenye kichwa KUPONA UKIMWI. nilipata mawazo ya watu.
Katika somasoma nikakuta uzi ukijadiliwa kuwa...
habari za mda huu..
Nahisi nmepata mfadhaiko
1.nina hofu iliozidi
2. najisikia kizungu zungu mno
3.. uchovu mwingi mda wote
4. sina hamu ya kula,japo najisikia njaa
5. mdomo unakauka muda wote
6...
Habar wana JF: Wataalam wa mambo naomba msaada wenu hapa: Cholera (kipndupndu) ni ugonjwa unao sambazwa na Bacteria wajulikanao kama Vibro-Cholera ...... Tafsri ya ugonjwa huu huwapata wale watu...
Habarini wana JF polenii na majukumu na miangaiko ya jumapili ya leo.Nimekuja JF Doctor kutafuta, hasa kunijuza naweza wapi kupata dawa ambayo itamsaidia mtu aliyekuwa mvuta sigara na mtumiaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.