Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni kujua hivi vipele kwa mtoto vimesababishwa na nini....ana miezi mitatu tu....
0 Reactions
18 Replies
15K Views
wakuu mimi nna tatizo moja.. yan kila nikilala kifudifudi nkiamka najikuta nmejichafua na sperms*/ hata nisipoota ndoto nyevu, ni nini suluhisho LA hili tatizo??? mana siipend sana hali hii na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Assalaam alekhum wadau,nna mdogo Wang katumia sana tumbaku kubwa,sasa kaacha,swali je dawa gan atumie ili atoe sumu ya kilevi hicho,msaada wenu tafazal.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF, Naombeni msaada wa kitaalamu. nimefanya sex na wanawake 3 tofauti kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka jana 2015 Lakini Kila ninae sex nae baada ya siku kadhaa analalamika kuwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada kuhusu protein powder, kuna aina nyingi za protein powder so kujua Nzuri kuliko nyingine kidogo inabidi tutafute wataalamu au wajuzi...naomba kujuzwa protein powder gani yenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu salaam!! Ama baada ya salaam, naomba kuuliza kwa wenye utaalamu na mambo ya afya. Mimi napenda sana kula pipi toffee, yaani kwa siku naweza tafuna hadi vipande 40 vya pipi hizo, hadi...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari za Mchana wadau,Tafadhali naomba kujua gharama za matibabu nchini india kuondoa uvimbe kwenye ubongo. Note;Nina Mdogo wangu umri ni miaka 8 ,alikuwa na tatizo la kudondoka na kupoteza...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
https://www.google.co.uk/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwi7-fm16ObPAhVLLcAKHcRNBv0QqQIIHTAA&url=https%3A%2F%2Fin.news.yahoo.com%2Fexperimental-drug-might-breakthr...
2 Reactions
1 Replies
672 Views
Waheshimiwa wakuu naomba ushauri wenu. Mara nyingi ngozi yangu inatatizo la kutoka vipele vilivyo mfano wa chunusi pale ninapojipaka mafuta hususan baada ya kuoga. Vipele hivyo hutokea baada ya...
0 Reactions
19 Replies
89K Views
Tatizo la kutokuona vitu vizuri halitokani na misuli ya macho kulegea, bali uchovu, hivyo unatakiwa u-relax . Wakati uko kwenye msongo wa mawazo misuli inayozunguka mboni ya jicho hubanwa na...
0 Reactions
10 Replies
18K Views
HABAR ZA UMU. naomba kuuliza mm ni muathirika wa tumbo kujaa ges sana ambapo nlienda pima nkaambiwa nna vidonda vya tumbo sasa tumbo likijaa huwa natumia dawa ya ALUGEL ambapo hupata nafuu kwa mda...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Salaam wakuu Mim ni mjamzito wa miezi mitano,tatizo nililonalo ni maumivu niyapatayo upande wa kushoto kwenye kiuno,kwa kweli huwa naumia sana nikitembea na hata nikikaa vile vile bdo nahisi...
0 Reactions
2 Replies
642 Views
Human papilloma viruses are known as HPV. They can affect the skin and the moist membranes that line parts of the body, including The lining of the mouth and throat The vulva The cervix The...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Habari kwa jina la bwana. naomba kuuliza hivi kazi ya makorodani ni nini? ninavyoelewa tezi dume sio korodani na tezi dume ndio hutengeneza manii. je korodani zina kazi gani na mbona zinauma...
1 Reactions
28 Replies
14K Views
Habar za Saa hiz wana jf napenda kuuliza na kutambua. Mwanamke anauwezo wa kutambua kama amesha nasa ujauzito ndani ya sku ngap? Toka suku ya mimba ilipo tunga. Ahsanten sana
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hi kuna taarifa nimeisoma michuzi kua leo TFDL wametangaza kua maziwa ya s26-gold na mengineyo ni feki yanasababisha watoto kuugua ini na figo so naomba ushauri kama kuna mtu ambaye anajua ni...
1 Reactions
35 Replies
49K Views
On Soda Taxes The head of the World Health Organization's department for preventing non-communicable diseases said this week that, "If governments tax products like sugary drinks, they can reduce...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Habari zenu wana JF Wiki iliyopita rafiki yangu wa karibu alinifata kuniomba ushauri, alikua anaumwa alivyonitajia Dalili na v2 anavyohisi nikatambua kuwa inaweza kua ni UTI nkamuelekeza dawa...
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Hi kwa wana JF wote: Nachukua nafasi hii kwa dhati kuwaandikia vijana wenzangu na walionizidi umri nikitaka ushauri kutoka kwenu. Mimi nimesoma mpaka form six na kubahatika kujiunga na chuo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom