Habari wadau, naomba kufahamu mtu anayejua tiba ya mwiba, mzazi wangu amejichoma nao leo siku ya tatu maumivu yanazidi. YOYOTE MWENYE KUFAHAMU TIBA NAOMBA MSAADA
Wakuu naomba mnisaidie,
Kila ninapotafuna chakula haitegemei aina gani ya chakula huwa napata hisia za mchanga kwenye chakula yaani kama kuna mchanga kwenye chakula.
Hili ni tatizo gani?
Tumeandaa database itakayompa mtanzania uwezo wa kuona, kuchagua na kuwasiliana na daktari anayemtaka pindi anapojisikia kufanya hivyo kwa urahisi kabisa kupitia simu yake ya mkononi.
App yenyewe...
Good morning jf....
Mi nasumbuliwa sana na kichwa, ni muda mrefu sasa kinaniuma, yani siku ninazo kaa bila kuumwa zinahesabika, hospital nishaenda nikipima sina shida yoyote, pain killers...
Habari zenu wadau,
Kuna binti mmoja mpenzi wa rafiki yangu kipenzi Jana waligegedana sana, cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama nusu saa bi dada akaanza kutapika na...
Habari zenu wana jamvi, ningependa kuuliza uhusiano kati ya hormonal imbalance na hairloss hivi vitu vina relate vipi? Je ni kwel hormone imbalance inasababisha hairloss(baldness)?
Just want to...
Wapendwa,
Kuna tetesi zipo sana mkoani Arusha kuwa mafuta ya kupikia aina ya Korie, na pia mboga za majani aina ya Chaines (wengine wanaziita Chinese) hupunguza nguvu za kiume, na ndio maana hata...
Habari .
Naombeni msaada wenu wadau .Ninasumbuliwa na fungus kinywani kwa muda wa mwezi sasa. Nimetumia antifungal kibao ila hali inatulia then wanarudi tena.
Vile vile nina kama utepe flani hivi...
Ebu nisaidieni jamani kunielewesha hapa,wataalamu wanasema mwanamke anapofikia MENOPAUSE anapofanya tendo la ndoa hahisi raha kabisa au anahisi raha kidogo?,wanasema wanawake wengi MENOPAUSE...
Wakuu,
Leo ni kama mara ya tatu kuona tangazo kwenye channel mbalimbali za India zikitangaza kuwa kuna dawa ya kuongeza urefu inauzwa kwa pesa za Tanzania kama laki na ishirini. Yaani wanadai...
Mwanamke akiwa na mimba nyama ya tumbo huvutika kutokana na mzigo uliomo tumboni, anapojifungua nyama ile huchukua mda mrefu kabla ya kurudi kwenye hali yake.
Je, kuna dawa ya kusaidia...
Habari zenu. Ndugu zangu naomba msaada anayejua dawa za figo lenye maji na matatizo kwnye kibofu cha mkojo. Ninakojoa damu mkojo wa mwisho na maumivu makali sana. Hospital nilipewa dozi ya dawa...
Emotional Symptoms of Sex Addiction
If you or someone you love suffers from a sex addiction, you might not have healthy boundaries. If your husband is addicted to pornor sex, you may feel...
URAIBU WA DAWA ZA KULEVYA
Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana...
Mdogo wangu anapokula na kushiba tumbo lake hujaa gesi ila hapati matatizo yoyote zaidi ya kubeua mara kwa mara na wakati mwingine hulazimika kula kidogo zaidi ili asipate hiyo gesi tumboni...
Wakuu wa nchi , Natumai mnaendeleaje vizuri na miangaiko yenu poa .Napenda kuchukua Muda wangu wa kuwajulisheni hamna Dawa ya KUPONYESHA kisukari full stop.
Watu wengi sana wametapeliwa kwa...
Chukua tahadhari dhidi ya msongo wa mawazo, na wasaidie wengine jinsi ya kujiepusha na msongo wa mawazo na hofu zinazopita kiasi zinazotokana na mitazamo hasi ambayo hata hivyo mara nyingi haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.