Huu pia sio uzi wa lugha, unaingiliana sana na siasa. Ugonjwa wa Kansa, au Kensa, au Saratani, unatajwa hivyo na wazungumzao Kiswahili kana kwamba ni ugonjwa wa kigeni kutoka nchi za mbali...
habari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or...
Naomba kuelimishwa kitu kimoja maana hali nitete kwa ndugu yangu na familia yake. Ni hivi wao wote wawili group lao la damu ni B+. Sasa mkewe amejifungua mtoto kapimwa damu Ana group O hii...
habari wana jf nilikuwa ninaomba ushauri au mwenye kujua tatizo la kutoka damu puani huwa linasababishwa na nini? nina dada yangu ana tatizo la kutoka damu puani ila hilo tatizo halijaanza muda...
Habari za muda huu.... Kuna tatizo limenipata wakati wa kutafuna kuna upande wa mwisho wa mdono kuna kanyama nakang'ata hivyo inanifanya nishindwe kutafuna vizur nilipokwenda uospital walinambia...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sasa na kuhusu ukidume na urijali wangu sina shaka kabisa... Ila nina tatizo la kulia(machozi kunitoka) bila sababu ya msini, hali hii hutokea...
Jamani habari za humu Jf
Naomba kwa anae fahamu nnini kina sababisha mtu kupatwa na mshipa,busha au jilimaji?Chanzo chake na tiba na jinsi ya kuzia
Asanteni sana
Hbari za jioni ndugu zangu.
Naombeni mnipe elimu kuhusu blood group O-/O+ na rhesus factor zake - na +
Kuhusu
1/Magonjwa yote yanayomkumba binadamu. Nimesikia watu wenye hili kundi la damu...
Habari!
Kumekua na uwepo wa vituo vitoavyo tiba mbadala nchini, ningependa fahamu kama hawa watu wanatibu magonjwa ya akili au wana limit ya magonjwa wanayoweza kuyatibu?
Asante.
Unapolala sehemu kubwa ya mwili inakuwa imepumzika, viungo vinavyoendelea kufanya kazi katika mwili ni moyo, diaphragm na macho pamoja na kuwa yanakuwa yamefumbwa. Mwili unahitaji oxygen ili...
Habari za jioni,mm ninasumbuliwa na tatizo la kuona kitu kinanivaa na wakati nabisha nacho napoteza fahanu na kuanguka kama mzigo,na nikiamka nakuwa sina kumbukumbu yoyote mpk zipite kama dkk...
Habari za jioni
Naomba kwa anayefahamu aniambie ni dawa gani naweza kutumia ili niweze kupona kidonda kilichopo kwenye ulimi. Sio mara ya kwanza kunipata na huwa natumia maji ya chumvi kusukutua...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji mkubwa wa kunyoosha mfupa wa mgongo wa mtoto uliopinda (kibiongo) kitaalam unafahamika kama ‘Scoliosis’.
Upasuaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.