Scientists have developed a drug they hope could lead to a cure for HIV and Aids.
Reseachers in Israel have identified a protein they claim can reduce the virus in infected patients by 97 per...
Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani nikifikisha mwezi or miezi sijasex hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu...
Habari waungwana,
Jana mke wangu alipata tatizo la kutoona kama dakika ishirini.
Naombeni wajuzi watupe elimu juu ya hili tatizo, Leo kaamka anasema mishipa ya kichwa inauma.
Habari wana jf naombeni mnisaide kupata ufumbuzi wa hili swala hivi ni kweli vidonda vya tumbo vinapimwa kama HIV inavyopimwa?
Na je kama ukitolewa damu kwa ajili ya vipimo vya vidonda vya tumbo...
Jamanii eee habari zenu kwanza mimi najishangaa sana siku hizi kila kukicha najiona tofauti kabisa kwanini?
Niingiapo kibaruani kwangu mwili unaishiwa nguvu kabisa uchovu mwanzo mwisho
Sasa...
CytoDyn Inc. announced in a news release last week that its ongoing extension study of PRO 140 monotherapy has shown “complete viral-load suppression” for well over a year, with some patients...
Wana jf naomba mnisaidie nina rafiki yangu tatizo lake ana harufu ya mdomoni na mswaki anapiga kila siku ila harufu haiishi na ni kwa muda mrefu naomba kwa ambaye anafahamu dawa ya kutokomeza hili...
Watu wengi tunaishi tu kwa mazoea nadhani,
Jana kuna jirani yangu ni mkorea alikuwa anasafiri leo asubuhi usiku alikuja kuniomba msaada flani akanikuta naoga ilikuwa saa tano usiku hivi. Leo...
Nina tatizo la Meno.
Meno yangu hayajapangika vizuri, kiasi kwamba yanaathiri muonekano wangu.
Naomba ushauri jinsi ya kurekibisha tatizo hili. Nimeona watu wakiwa wamevaa nyaya kwajili ya...
Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors...
Habari zenu wapendwa wa jf jaman hivi
Kwa yeyeto mwenye utaalamu na magonjwa ya tumbo msaada tafadhali tumbo linauma chin ya kitovu na ni katkat si kulia wa upande wa kushoto
Ulaji wa sukari kupita kiasi unahusishwa na kuongezeka kwa unene, uzito kupita kiasi, ugonjwa wa kisukari cha ukubwani (aina ya pili), magonjwa ya moyo, baadhi ya saratani, kuoza kwa meno na...
Wakuu naomba mnisaidie tatizo la meno yanatingishika lakini hayaumi inaonekana yamelegea. Tatizo ni nini na dawa yake nini ili yawe imara tena? Wale mliozoea jokes na kejeli hebu mtulie nahitaji...
Habari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie...
Salam zenu wakuu,Ni sababu gani zinampelekea mwanamke kupata maumivu ya ndani ya tumbo(kama mshipa) wakati wa kuingiliwa??hasa wakati wa kupump,Msaada tafadhl
Sabakheri Wadau;
Kuanzi Wiki Jana Nimeanza Zoez La Kukimbia Asubuh Na Jion 10 Km Kupanda Mlima Wa Mzumbe Ndani!!! Sasa Kama Kawaida Kunakuwaga na Yale Maumivu Ya Misul! Yaan Inauma Mbaya!! Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.