Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wakuu nahitaji kujua dawa ya osmolax inauzwa bei gani coz niko mbali na mji na kuna mtu nahitaji kumtuma ili aweze kuniletea kesho.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
(juice) ya limao na asali inasaidia kupunguza unene. Uhalisia juu ya unene. Unene unasababishwa na mambo mengi yakiwemo • Tabia ya ulaji zaidi ya mwili unavyohitaji, mwili baada ya kuchukua...
6 Reactions
12 Replies
33K Views
Kwa uelewa wangu ni kwamba; kuna baadhi ya wanyama hucheua lakini lakini binadamu hayuko kwenye kundi la wanaocheua. Sasa kuna rafiki yangu yeye hucheua; yaani akimaliza kula, baada ya nusu saa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini wapendwa Nitafurahi endapo nitapata msaada kutoka kwa madoctor na wengine wenye ujuzi kuhusu tatizo la polyhydmias kwa mama wajazito , kwamba tatizo linatokana na nini ?na je tatizo...
0 Reactions
7 Replies
962 Views
Kati ya asilimia 100% ya wanawake nilifanya nao mapenzi,asilimia 80%wana matatizo ya kutoa harufu mbaya mara tu baada ya kusex. Na asilimia 20% tu ndiyo wao hawatoi harufu hiyo. Je wana matatizo...
2 Reactions
118 Replies
38K Views
Mke wangu alijifungua kwa mara ya kwanza kwa njia ya kawaida. Kisha mtoto wa pili alijifungua kupitia upasuaji. Na sasa ana ujauzito mwingine,ila wakati naandaa hospitali kaajili ya kujifungulia...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Miezi 6 iliyopita vipele vidogo kama vya joto vilinitoka kwenye vidole vya mikono nilipovitumbua vilipona na kujitengeneza vidutu vigumu (rough skin surface) ambayo hospitalini Doctor aliniambia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu napenda kujuzwa umuhimu wa majani ya chai kwenye chai. Je, ni sahihi kunywa chai bila majani chai {yaani sukari na maji}
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Tupeane msaada juu ya hili kwan wengi tunatambua karanga tu je kuna vingine vinavyosaidia kuongeza?
2 Reactions
115 Replies
15K Views
Rejea mada tajwa hapo juu, Mpenzi wangu anadai kuwa anahisi mdomo wake ni mchungu muda wote, hali inayomfanya akose amani kabisa, hana mimba kwamba tutasema ni dalili ya mimba hapana. Wataalamu...
0 Reactions
7 Replies
17K Views
Jamani shida nini, yaani uume wangu unasimama sana na misuli yake inakaza sana mpaka naumia.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Nasumbuliwa na tatizo la magoti kuuma.Kwenye kiungio joints.Tatizo hili linaninyima raha kwani nimetumia dawa mbalimbali Ila yanapoa kama wiki moja,maumivu yanarudi tena.Kwa mwenye kujua naomba...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Nashida jaman naomba kuelekezwa doctor mzur Kwa muhimbili. wa watoto mwanangu anashida ya tumbo .natanguliza shukrani[emoji120]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie jinsi ya kupunguza unene bila kuathiri unyonyaji wa mtoto ana miezi tisa asa hivi
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Habar wana jamvi , Naomba kuuliza ni madhara gani mtu anaweza kuyapata endapo mtu atalala kwa muda mfupi kwa mfano mimi huwa nalala masaa mawili 2 tuu kwa siku
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Huu ni ugonjwa ambao husababishwa na bacteria aitwaye Corynebacterium diphtheria. Huenea kwa njia ya kumgusana au kushika vitu ambavyo mgonjwa ameshashika. Pia huenea kwa njia ya kukohoa na kupiga...
2 Reactions
0 Replies
17K Views
MAGONJWA mengi hayahitaji tiba. Miili ina njia mbalimbali za kukinga maradhi. Njia hizi ni bora zaidi kuliko kutumia dawa. Magonjwa mengi, kama vile mafua na fluu hupona bila ya dawa. Ili...
1 Reactions
9 Replies
20K Views
Mtoto wangu wa miezi 6 nikimkalisha mgongo unakuwa kama unapinda Je ni tatizo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Kuna maarifa ambayo yakitumika yatasaidia watoto wetu wa kiume kuepuka aibu ya ndoa zao ukubwani. Hii nimeipata uarabuni na umasaini. 1. Mtoto wa kiume akizaliwa baada ya miezi...
2 Reactions
61 Replies
28K Views
Back
Top Bottom