Zikiwa ni mbegu zenye virutubisho vya aina mbalimbali kuanzia madini hadi protini
mbegu za Maboga zinakua mio goni mwa mbegu muhimu sana binadamu kuzila,,
Zifuatazo ni faida zinazopatikana kwenye...
Wakuu poleni na majukumu,naombeni msaada wenu ni wapi nitapata daktari kwa ajili ya matibabu kwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu anaonekana kuwa na matege ..Pia nimewahi kumpeleka ccbrt niksambiwa...
Wanasayansi kwa kutumia mashine mpya ya MRI wamepiga hatua kubwa katika upimaji wa saratani ya Tezi dume. Kwa kutumia Mashine mpya ya hali ya juu Madaktari sasa wataweza kubaini aina nyingi za...
Mimi menyewe ukichaa wangu naomba nisipewe siraha maana nikichukia nakua km simba kwa kuunguruma:Naomba tuchangie tufanyeje ili kizazi hiki kitulie kisipate ungonjwa km wa kwangu mimi huwa naweza...
Habari wana Jukwaa,
mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25,nimesoma mpaka kidato cha sita lakini matokeo yangu hayakuwa mazuri.Mwaka niliofanya mtihani ni 2014.
Na baada ya matokeo...
habari zenu ndg,
Nina tatizo la meno kutoboka mara kwa mara na nimekuwa nikiziba lakini bado tatizo linajirudia kila baada ya miezi mitatu.
Naomba munisaidie kwa ushauri na tiba ili niondokane na...
Wanajamvi,
Nina mdogo wangu yupo 45 yrs anakunywa maji lita kwa siku; asubuhi, mchana na usiku. Jumla, anakuwa amemaliza lita 6. Kwasababu ya kunywa kiasi hicho cha maji, huwa anaenda sana haja...
Naona msisitizo sana wa watu wakiume kufanya circumcision kutoka madhehebu ya dini mbalimbali na pamoja na secta ya Afya hata mila za desturi za makabila mbalimbali
lakini swali ninalo lipata...
Wapendwa wana jukwaa naombeni kujua huu ni ugonjwa gani, unasababishwa na nini na matibabu yake nini? Maana hapa mtaani kwetu unasumbua watu wengi hasa vijana wakike na wakiume ..... Tusaidieni...
Wakuu nimekuja huku kama nilivyosema nipo kairuki lakini Urologist mpaka jmosi, kama kuna mdau anajua Ratiba ya urologist yeyote kwa Leo na kesho hospital nyingine aniambie coz ninamaumivu mpaka...
Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!!
mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! napenda kujua ni hospital gani iliyopo DAR ambayo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (urology)...
Kwa zaidi ya miezi minne sasa mototo wangu alipaswa kupata chanjo ya Surua kama alivyopangiwa Wa wahudumu Wa afya.
Wauguzi katika zahanati ya umma ambako nimekuwa nikimpeleka kupata chanjo...
Kwa wajuzi, 3tyms tumejarbu kutafuta mtoto mimi na mke wangu tulimek lov kweny sku zte wanazoziita za hatari bt hollla, next wik tumepanga twende hospital kupima napenda kujua ninn huwa wanapima?
Habari wana jf. Natamani kuwa na mtoto. Hivyo naomba msaada juu ya siku ya kushika mimba. Mzunguko wangu wa period naanza tarehe 9 na kumaliza tarehe 14.
Habari wanajamvini... samahani rafiki yangu ameniuliza swali nimeshindwa kumjibu nikaona sio vibaya nilete hapa mtusaidie....
alikuwa kwenye danger akasex baada ya hapo siku ya tatu baada ya sex...
Nina Mtoto mwenye umri wa miaka 10 kasoro. Anaota Yale meno kiswahili tunaita magego but yamemfanya augue kabisa hata kula hataki akimeza chakula koo linamuuma. Nilimpeleka Hosp tukapewa dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.