Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wasalaam wakuu! nashindwa kutofautisha kati ya cd4 na white blood cell. je, mtu akipima damu akaambiwa white blood cells zmeshuka/kupungua inamaanisha ndo cd4 zmeshuka? je, ni sababu zipi...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Wana JF experts wote naommba msaada wenu nimeumwa back pain almost 4Years kila nkienda hospital napewa some pain killers na vidawa tyu bas then hali inarejea kama mwanzo yan mgongo unauma hasa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu naombeni msaada wa kufanya ili mchepuko usipate mimba nimefanya ile nimemaliza kumbe alikuw kwenye sku ya hatari afu alijisahau hapa geto hakukaliki kuna kilio hatari wakuu naomben msaada wa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Mtoto wangu amezaliwa akiwa na meno mawili ya chini. Je hali hii inasababishwa na nini? je nini kinasababisha mtoto kuzaliwa na meno?
0 Reactions
6 Replies
18K Views
Wakuu Naombeni kufahamishwa faida ya kula Ugali asubui, kuna sehemu moja apa mtaani kwetu kila siku asubui watu wanakula Ugali.Afu wengi wanaonekana ni Watu wasomi. Sasa leo nimemskia mmoja wao...
3 Reactions
8 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu kuwa muwazima,leo ningependa kujua hizi condom ikiwezekana iwe faida kwa wengine ambao wanajua kila condom huzuia maambukizi ya VVU. Ni hivi nimejaribu kufuatilia nikagundua...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Nina hitaji kuconcive lakini toka nijifungue sijapata periods...je nitajua vipi siku zangu za hatari...na kuweza pangilia gender ya mtoto?
0 Reactions
5 Replies
748 Views
ndugu zangu habari zenu Nina rafiki yangu anaongea mwenyewe kama kichaa halafu anakua mwenye mawazo mengi sana je ni ugonjwa gani au ni ukichaa
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Usichoke kusoma tafadhari Ni mda wa miaka mitano sasa siko sawa ,kichwani hadi mapajani napata maumivu yasiyo ya kawaida, misuli inakaza, mishipa inauma, napata uchovu kiasi nalala mara kwa mara...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Salamu kwenu! Je,hakuna mbadala wa sindano za chanjo wanazopatiwa watoto,katika mapaja yao? Maana nimeshuhudia zikiwapa mateso sana muda mwingine hadi kupata homa. Kweli hakuna namnan yingine...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari zenu wapendwa. Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu humu ndani. Tatizo nililo nalo wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza niliumwa uchungu mkali sna kwa muda mrefu kama siku 2 hivi...
1 Reactions
72 Replies
37K Views
Kwa ushauri yenu juu ya tatizo language ya bleeding! Nilienda hospital nikapewa dawa dydrogestorone tablets nimetumia kama Siku 4 nikaingia(bleed)na dozi niliambiwa nitumie Siku 30! Sasa kuna haja...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, nina dogo langu katuma maombi juu ya IRS ama unyunyuziaji wa dawa ya mbu majumbani. Sasa dogo huyu hajui chochote kuhusiana na hiyo programme, na ameambiwa 06.02.2017 akafanye usaili huku...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ninashikwa na uchovu wa kukoroma kabisa nikimaliza kufanya mapenzi,hata kama ndo nmetoka kulala. yawezekana ikawa nini au ndo naishiwa nguvu za kiume? au ni mtu ninayefanya nae tendo manake...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Jamani mimi nina tatizo moja nikigegeda demu wa nje napiga magoli mengi zaidi kuliko pumpuchi niliyoilipia mahali. Je ni kwa nini inatokea hivyo?
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu wapendwa. Nimerudi tena kwenu kuomba ushauri na kubadilishana mawazo, Najua humu ndani kuna madaktar na wenye uelewa wa mambo ya afya na wanawake wenzangu waliopitia hali...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Ukienda kule kwa wayahudi utasikia wakisema 'utupe leo mkate wetu wa kila siku' ila nadhani kwa watanzania itakua 'utupe leo ugali wetu wa kila siku' nakusudia kwamba ugali umekua sehemu kuu ya...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Hapa ni nani tabibu wa kweli ambaye tiba yake inaaminika? Maana nimetumia dawa za dokta Rahabu hazijansaidia pamoja na kuuzwa gharama kubwa!
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Habari za leo,naomba kujua faida na madhara ya dawa hizi CARBAMAZEPINE make kuna ndugu yangu amepewa akinywa anakuwa kama mja mzito kusinzia,amepewa hizo pamoja na zingine zinaitwa VALPARIN CHRONO...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom