Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ninapenda kutafuna mifupa milaini ya kuku. Hasa kwenye viungio--huwa kuna ile mifupa myeupe hivi--ni kama si mfupa na si nyama. Kwa kuku wa kienyeji labda hakuna tatizo. Kwa kuku wa kisasa je...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna dawa nlikuwa napewa, zinatoa minyoo mizima unaweza kuihesabu, mingne ilkuwa inatokea mdomoni. Lakini hizi za leo, unapiga siku 3 lakini hawatoki wazima tena. Dawa...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Naomben wajuzi wa maradhi haya mniambie tofauti katika dalili zake na mengineo? Natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tumeona wacheza mieleka wakifa ghafla kwa heart attack, wacheza mpira mf. Mark Vivian foe na yule aliyefia Kagera, baadhi ya wanamuziki mf. Papa Wemba, licha ya maisha ya mazoezi. Bado tunaona...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Naombeni ushauri wataalamu wa afya. Nilikunywa maji ya mvua zimepita kama siku nne nimeanza naharisha tangu siku hiyo, sikwenda hospital maana nilifikiri ni mchafuko wa kawaida sasa kuanzia leo...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Wataalammu wa Afya naombeni kufahamu hii dawa paracetamol au pain killer. Ni kwanini hutumika kumaliza maumivu na si tiba. Na kwanini imalize maumivu isitumike kutiibu kabisa, ?? Nashindwa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Ki ukweli ni jambo linalohitaji ujasiri wa hali ya juu. Tulikaa na marafiki katika story na kila mtu akawa ana hofu juu ya kwenda kupima. Binafsi huwa najiuliza kwanini nisiende kupima lakini...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
wakuu habari za muda huu!! kama tulivyo binadamu ukishazaliwa kuugua ni sehemu ya maisha! na mimi nimekuwa nikijitokeza ndani ya jukwaa hili mara kadha wa kadha kupata ushauri juu ya afya yangu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
1. Je Oral sex inaweza kusambaza HIV? JIBU: Kuna uwezekano mdogo wa maambukizi ya HIV kupitia ngono ya mdomo.Uwezekano huo huongezeka endapo ngono zembe itafanyika katika kinywa chenye...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Wakuu habari. Kwanza niombe radhi kwa wote watakao jisikia vibaya kwa sababu ya picha hizi. Nimekuta hii discussion sehemu lakini hakuna mwenye uelewa mzuri juu ya hii kitu. Kwa mwenye ufahamu...
1 Reactions
212 Replies
43K Views
Jeremia Wandili Mtanzania na mhamasishaji wa harakati za kupambana na umasikini kwa kutumia Talanta alizonazo katika kubuni mawazo bunifu. Wandili amefanikiwa kuingiza wazo la mradi wa kupambana...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Minyoo ni viumbe hai ambavyo husababisha madhara ya kiafya kwa mtu aliyeambukizwa.minyoo huishi na kukua katika utumbo ambamo hufyonza virutubisho ambavyo ni muhimu kwa lishe ya binadamu.aina ya...
3 Reactions
4 Replies
16K Views
Habari za usiku huu members Niko na tatizo la kupata maumivu sehemu ya ndani ya uume baada ya kutoka haja kubwa au baada ya kumaliza kuoga, ili tatizo au maumivu yaishe ni kurudi na kujitawaza...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Jamani naomba msaada. Maana huwa napiga chafya sana kila ninapohisi kunusa vumbi, mtu akivuta sigara moshi tu ukipita mbele yangu, pia kama natafuta nguo kabatini, nikipulizia pafyumu n.k. Chafya...
1 Reactions
3 Replies
14K Views
Je uzito sahihi wa mtoto mwenye umri wa miaka 3na miezi mitano ni upi je kwa kg 15ni sawa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa bahati mbaya situmii kilevi chochote naomba kujua haya madawa ya kulevya yana madhara gani? Madhara hayo ni ya muda tu au yabadumu.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Jamani naombeni msaada nashangaa kwamba kifua changu kushoto ni kiKubwa cha kushangaza cjawai kunyanyua chuma pia upande huohuo nasikia maumivu kwa ndani hadi mgongoni mimi na miaka 18
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu ni mtoto wa kiume ana miaka 6, tatizo aliro nalo nikuwa anatokwa na choo kikubwa bila kujitambua, mwanzoni tatizo hili lilipoanza alipelekwa hospitali akafanyiwa vipimo wakasema ana minyoo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu, Jana kwenye maongezi ya kirafiki na bi dada mmoja, alinieleza jambo lililonifanya nishangae kidogo na hata nilipobisha(japo sikuwa na data za kubishia) bado alisisitiza kuwa...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom