Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ni miaka minne (4 yrs) toka nijifungue mtoto wangu wa kwanza, nimekuwa nikifanyajitihada za kupata mtoto mwingine bila mafanikio, hivo basi naombeni msaada kwa wale wenye weledi juu ya hili...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
HIV has completely disappeared from the blood of a patient in clinical trials. The new HIV treatment that can target the virus even in its dormant state by activating latent infected cells and...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika somo hili tutaona umhimu au faida 12 za majani ya mti wa mstafeli katika afya. • Juisi yake hutibu kansa haraka na kwa ufanisi zaidi • Ina nguvu mara 10,000 zaidi ya tiba ya mionzi katika...
2 Reactions
5 Replies
31K Views
Rejea kichwa cha habari juu. Ni siku ya tatu sasa toka nmefanya mapenzi na mdada wa kazi hapa home sasa uume wangu umedinda mpaka Leo umesimama nini tatizoo msaada plzz
1 Reactions
74 Replies
8K Views
An HIV vaccine developed at the University of Oxford has kept 5 out of 15 patients completely free of HIV. One of the patients has already been clear for 7 months. AIDS affects over 36.7 million...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za wakati huu waungwana. Nakumbuka week kadhaa nyuma niliomba msaada wenu kwa hali ninayoisikia katika mwili wangu. Nilikuwa ninahisi maumivu sehemu za mbavu zote mbili pia nilikuwa...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Wakuu, Kwa kawaida sipaki mafuta mara kwa mara usoni kwakuwa uso wangu unamafuta. Hivi karibuni nimeanza kuwashwa sana uso hadi shingoni na kuota vijipele vidogodogo. Na kuvimba pia. Nimetumia...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Habari za sa hizi wana jf.nilkuwa nauliza kunamadahara yoyote ukitumia dawaa ya kuweka ukeni pindi unapokuwa mjamzito....kwa ajili ya tiba ya miwasho??
3 Reactions
16 Replies
17K Views
Tafuta mti ambao juu yake umeota mti mwngine Ukiupata fanya yafuatayo Chukua mihogo 2 ambayo inapacha nenda nayo pale ktk ule mti ukifika umwagie maji yaliyo na unga wa mtama mweupe na maji...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imesema itaanza kutoa huduma ya kupandikiza figo kuanzia Mei, 2017. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Tiba wa Hospitali ya Muhimbili, Dk...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kujua ni kwa nini kuna utofauti wa taarifa ya majibu ya vipimo vya ultrasound kati ya hospital moja na nyingine kwa mgonjwa yuleyule hasa wajawazito! Je ni hali ya kibahatisha tu, au ni...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Siku zote amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi... Lakini leo hali imekua tofauti, yuko kwenye hedhi lakini anasikia maumivu makali kwenye kitovu(kwa ndani) Je, hali hii...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nitumie Tiba au nifanye utaratibu gani? Kwa tatizo hilo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kijana wangu wa miezi nane anasumbuliwa na vipele ambavyo vinakuwa na usaha ndani. Vinamuwasha sana kiasi kwamba hawezi kulala na hata akilala basi atastuka muda mfupi. Kwakweli ni...
0 Reactions
23 Replies
15K Views
Hello wanajukwaa. Natumai mu wazima. Nina rafiki yangu tulikua tunatembea usiku maeneo ya Morogoro Mvomero huko karibu na Mindu. Ghafla akang'atwa na nyoka ambaye hatukumuona, kama kawaida...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kichwa cha Habari kimeshajitosheleza naombeni tu 'mtiririke ' ili tupeane ' maujanja ' ya tiba kama kuna mwenye uzoefu na hizi aina za ' majanga ' ya bahati mbaya.
0 Reactions
32 Replies
38K Views
TAHADHARI! Jihadhari usinywe dawa aina ya 'paracetamol' iliyoingia imeandikwa P/500. Ni dawa mpya, nyeupe sana na ni dawa inayong'aa sana: madaktari wanasema kwamba dawa hii ina virusi viitwavyo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu msaada wenu, Mwenye kufahamu anijulishe, maana Dawa zimenishinda, nataka kufahamu kabla sijaenda tena hospitali
0 Reactions
17 Replies
6K Views
habarini naomba kuuliza kwasababu sina ukweli juu ya hili,,wanasema ukiwa umepata ajali ukavunjika mguu ukaenda hospital ukawekewa chuma hauruhusiwi kufanya mapenz mpaka upone,,swali ni je kuna...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
1.UNGA WA MKAA. Unaweza kuupata kutoka kwenye mti wa mkuyu,kifuu cha nazi,msonobari na mkaratusi (eucalyptus . Jinsi ya kutayarisha:~ Choma kifuu cha nazi hadi kiwe mkaa na usage uwe unga. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom