Hellow wana jf, awali ya yote namshukuru mwenyezi MUNGU kwa kitupatia uzima na afya njema, pole kwa walio na hitilafu ya afya. kama kichwa tajwa hapo juu,
Naombeni msaada nifanyaje meno yangu...
Hanvar zenu wanajamii naomba msaada wenu waawazo je ukishikwa sehemu uliochomwa sindano wakati bado damu inatoka kwenye mshipa na muathirika akikushika na kuusugua mshipa unaotoa damu kwa vidole...
Habari zenu jmn.... hii dawa ya kuchoma kwenye mishipa kwa mjamzito kwa ajili ya uti ni salama? haiwezi kuleta madhara kwa mtoto. ujauzito ni wa wiki 28...
Wakuu habari,,nimekuwa nikisikia watu wanasema kuwa ukishiriki ngono na mtu aliyeathirika na ukimwi,,ndan ya masaa 72 ukiwahi hospital na ukipata hiyo PEP,,,bas hatar ya kupata maabukiz inakuwa...
habari wa ndugu,
mke wangu ana ujauzito , ambao makisio ya kujifungua yalikuwa mwezi wa tatu tarehe 14,
hata hivyo taarifa zakiliniki zilitushitua pale walipo sema kuwa katoto ni kadogo sana na...
Habari wanajamii forum
kuna mtu juzi alikuwa mgonjwa sana akawa amepelekwa hospitali na alikuwa analalamika maumivu ya tumbo. Walimfanyia kipimo cha ultra sound kwa mujibu wake sasa wakasema...
Naomba msaada wenu,ni kwamba kwenye koradani zangukwa kuna vikoradani vingine vidogo katika korodani.katika koradani la kushuto kuna kakorodani kadogo kamejishikisha kwenye korodani kubwa na...
Chanjo ya kwanza ya malaria duniani itafanyiwa majaribio katika nchi za Ghana, Kenya na Malawi kuanzia 2018. Chanjo hiyo inafundisha mfumo wa kinga ya mwili kushambulia vijidudu vya malaria...
Ningependa kufahamu effects za weed kama drug nyingine na how it affects the brain.Someone smoke it without experiencing any side èffects?
Fact Attack One problem in sorting out fact...
Mimi nilijifungu miezi kumi iliyopita tangu nimejifungua ni ule mwenzi wa uzazi tu ndo niliona siku zaku baada ya hapo imekata mpaka sasa sijaona je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? nauliza...
Habari za kuisoma namba wandungu mim naomba kuuliza mwanamke kama ametoka kwenye uzazi yani amejifungua anaweza kupata mimba tena bila kuingia kwenye hedhi?Na je anapata hedhi muda gan baada ya...
Rangi ya Shahawa ( sperm) unaweza kuwa ishara ya tatizo Fulani la Ki afya
1:whitish to gray color hii ndio rangi ya kawaida ya shahawa(normal sperm color) nyeupe
2:Yellow color- njano hii INA...
Habari wana JF
Naomba kufahamishwa tofauti zilizopo kati ya Dispensary, Medical Centre na Health Centre kulingana na sheria na taratibu za Nchi pamoja na Wizara ya Afya.
Nawasilisha
Bandeji ambazo zinaweza kutambua jinsi kidonda kinavyopona na kutuma ujumbe kwa daktari itafanyiwa majaribio katika kipindi cha miezi 12 ijayo.
Bandeji hizo zitatumia teknolojia ya 5G kufuatilia...
) KUPITIA TIBAMBADALA
Pumu au asthma ni katika magonjwa hatari ambayo tiba sahihi kwa wengi imekuwa ni kitendawili, lakini lishe mbadala ni jibu lake, kutokana na tafiti za wataalamu na wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.