Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari, Je, ni kweli wagonjwa wengine wa mabusha hugoma kuyafanyia upasuaji kwa sababu ya imani za kishirikina eti kwenye yale mabusha kunakuwa na zana zao yani vifaa vyao vya kishirikina?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wassalam wanajukwaa. Afya kwa mwanadamu ni tunu kubwa ambayo kuwepo kwake kunamuwezesha (binadamu) kwa kiwango kikubwa kuwa ni mwenye furaha na utulivu kwa ujumla.Ni dhahiri kwamba mwili wa...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Kuna best yangu Mmoja ana dem wake, yule mdada kapata ujauzito na baada ya kwenda kupima damu akakutwa na group lenye resus factor negative. na ameambiwa anatakiwa achomwe sindano ya ANT DOTE...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
i dont have much to say all i need to know is if there's any natural medication apart from tablets and lotions,that i can use to make me last longer in bed.i mean something that will or can stay...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta duka la vifaa vya maabara na kemikali Dar es salaam au Arusha. Asante.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Je ni dalili zipi za uchungu ambazo mama mjamzito huweza kuziona...!
0 Reactions
20 Replies
174K Views
Samahani mimi naishi Mwanza nilipata ajali mwez wa 5 iliyopelekea jicho langu la kulia kutoka nilipelekwa Bugando nikafanyiwa upasuaji likatolewa moja kwa moja, lakini mpaka saivi linatoa machoz...
1 Reactions
57 Replies
44K Views
Natanguliza shukrani zangu kwenu wana Jamvi. Leo nakuja kwenu kuomba msaada wa uelewa juu ya mambo yafuatayo kuhusu watoto :- 1. Je, ni hali ya kawaida kwa mtoto wa miezi miwili kasoro...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu tatizo langu ni hilo hapo juu nimetumia dawa nyingi za kupaka na kumeza ila tatizo lipo palepale kama kuna MTU anaejua dawa tafadhali Shea nami Ni mikononi tu hadi kucha zinatoka...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Husafisha mirija ya uzazi, Husaidia mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida. Tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Siku za hivi karibuni naona kumeibuka dawa nyingi za kutoa sumu mwilini na nyingi naona wanazungusha hawa masai lakini hizo dawa ukinywa lazima uarishe sana na wanasema sumu ndio inatoka kwa style...
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Habari Za kutwa ndugu wana Jf, naomba kufahamu juu ya hili swala mpenz wangu ana AB+ namimi Nina 0+ Je, hapa kuna tatizo lolote katika safari ya kutafuta mtoto
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau kabla ya kumwaga sperm au mbegu za kiume,kuna maji maji meupe utoka Yale maji ni muhimu sana maana yana acid, ile acid inapoingia ukeni ambako kuna maji maji yeye base Acid + base= water na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mama mwenye maambukiz ya Ukimwi, kukamua maziwa na kuyachemsha kumpatia mtoto wake kunaweza kusiwe na madhala kwa mtoto? Mtoto anaumri wa miez mitatu ameanzishiwa Maziwa ya ng'ombe. Nijuzen...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini humu, Nilifanyiwa operesheni ya kutoa tonses toka mwezi wa tatu 2017. Hadi leo sina test ya chochote. Nisaidieni nitakuwa vizuri baada ya muda gani? Sina namba ya doctor wangu na yuko...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ijue Faida ya kula samaki SAMAKI (FISH) • Huyayusha damu, huifanya kuwa nyepesi • Huilinda mishipa ya damu isiharibike • Huzuia damu kuganda • Hushusha shinikizo la damu • Hupunguza hatari...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna njia ya ku_strengthen Na kuiongeza dhakari nimeisoma makala hiyo "juzikati" hiyo njia inaitwa Jelqing method Je kuna yoyote mwenye kujua zaidi juu ya hiyo method nipate juzwa zaidi nanyi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam. Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji.Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu, je ni salama kutumia vidonge...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Habari ndugu zangu,miaka 10 iliyopita Jino la mwisho taya la chini 'wisdom tooth ,lilimeguka nikaenda muhimbili wakapiga xray. Lilikuwa limeota vibaya kitaalamu (horizontal 3 molar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom