Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mimi ni kijana wa miaka 28 ninaishi dar, ninaishi na mwanamke huu mwezi wa nne sasa, kiukweli nilikosea kuanzisha mahusiano bila kuchukua tahadhari za kiafya, nikafanya nae ngono zembe kwa muda...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nina mke wangu sasa ni wiki moja toka awe kwenye siku zake za hatari na alikua ana lengo la kupata ujauzito lakini Leo ni wiki moja na siku tatu tumepima kwa UPT lakini haijaonesha kua mjamzito...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Naishi na mke wangu, tumejaaliwa kupata watoto mapacha wote wa kike wana umri wa mwaka na miezi 10, na bado wananyonya, Ni siku ya 3 sasa tangu mke wangu agundue ana ujauzito wa wiki 3...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu wa jukwaa hili Nimejitokeza hapa nina walau maswali mawili, moja ivi nini kinasababisha mtu kutokwa na jasho saana hasa maeneo ya kwapa wengine mgongoni.. Yaani unakuta mtu katembea...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu salaam,naomba msaada jinsi ya kuondoa kiungulia,Siku za nyuma vyakula vyote vilikuwa havinisumbui ila kwa sasa baadhi vinanipa kiungulia MF mikate,maharage,viazi nk. Nifanyeje nirudie ile...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habarini wanajukwaa Naomba mnijuze sababu mbali mbali zinazosababisha kupungua uzito wa mwili Asanteni
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Wakuu inapotokea mwanaume ana low mobility ya sperms zake ..hapa nazungumzia 3% na kabla ya hapo hakuwa na shida iyo inaweza kuwa imesababishwa na nini?na tiba yake ipoje
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF!. Naombeni msaada kuhusu hili nimekua napata muwasho kwenye mrija wa kupitishia mkojo(Uume) siku tatu zilizopita, Chakushangaza leo naamka naona kama usaa kidogo kwenye...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Thank all kwa mawazo na ushauri nilienda Hospital Regency. Doctor alinipima pressure & kisukari sina nikapewa dawa ila baada ya week kutumia dawa za hospital mabadiliko hakuna ndo nikaomba ushauli...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nauliza BlueBand itanisaidia katika Ku build Muscles au ina madhara pia nikifanya Cardio huwa nakojoa mkojo wenye Rangi Sana Tatizo nini nikifanya zoezi la tumbo Digestion huwa inazingua...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Habari za mihangaiko wana jamii, nisaidieni mwenzenu natafuta dawa ya kuwa mnene Niko serious not jok
0 Reactions
25 Replies
16K Views
*PENIS CARE* *Take Care of Your Penis....* *Tips to keep your penis clean, sweet and healthy.* * As a man, keeping your penis healthy and sweet is important. Your sexual* *organs are very...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari za muda,sasa yapata week na siku kadhaa jicho la kulia linauma kwa mbali na kuwasha huku likitoa uchafu(tongotongo)sana na muda wote..vile vile limevimba hata halifunguki vizuri. Nimetumia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Matumizi ya pombe kupindukia(alcoholism ) na sigara(nicotinic addiction ) vimekuwa ni chanzo cha kushuka kwa uchumi katika familia nyingi za kitanzania Habari njema ni kwamba kampuni ya Alliance...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa upungufu wa nguvu za kiume kibofu kuuma tumbo kuuma ngiri) au kunguruma husimamishi uume kusinyaa kabla ya tendo kuwahi kufika kileleni kushindwa kurudia tendo kwa kutumia shubiri,maziwa ya...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Za leo wakuu, Naombeni ushauri ndugu zangu. Mwanangu anaumwa jino ambalo ni gego la kutafunia. Halijaoza bali limecrake tu. Kwa wanaojua tiba ya meno bila kung'oa maana naona mtoto ni mdogo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini, Nina watoto wanne kila mmoja na mama yake, wa kwanza ilikuwa hivyo, wa pili ni mtalaka wangu, watatu nayo natilia mashaka mpaka mtoto mwenyewe lakini sina uwezo wa kupima DNA hivyo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpenzi wangu anaujauzito takribani week sasa, lakini tumbo linakuwa linamuuma sana pamoja na kuchoma choma na ni mimba yake ya kwanza. Shida ni nini? Maana sielewi kabsa anavyolalamika tumbo...
0 Reactions
9 Replies
702 Views
jamani naomba anayejua haya mambo tusaidiane. nimesikia watu wakishawishi ulaji wa vitunguu swaumu wakidai ni tiba ya magonjwa mengi na ni kinga pia, sasa mimi nilijaribu kutafuna vipunje...
0 Reactions
21 Replies
37K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom