Kuamka umechoka sana, mapigo ya moyo kwenda kasi tofauti na kawaida yani siku nzima baada ya kufanya mapenzi usiku
Na hiyo hali huendelea siku moja hadi mbili mbele ....
Naombeni msaada hapo ...
Kufanya Mapenzi Kwa Wiki Mara 3 Kunapunguza Kupata Shambulio La Moyo (Heart Attack) Kwa Asilimia 50%
Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano...
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni...
Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima...
*TANGAZO TANGAZO
*Kwa *wale wakazi wa dar es salaam na mikoa jirani kampuni inayojihusisha na maswala ya afya inayozaminiwa na watalamu kutoka nje ya nchi inatoa msaada kwa kufanya vipimo vya*...
Pole na mihangaiko na pilika pilika wakuu, naomba niende kwenye maada moja kwa moja;
Ni hivi, Nina tatizo la kiafya ambalo limekuwa linanisumbua karibu miezi mitano sasa, iko hivi; ghafla nikawa...
Wakuu.
Kaka yangu ni kichaa fulani, alikula msuba(bangi) nyingi sana zamani,mm nikiwa mdogo ,bila kazi ya kipato.
Kaka yangu ni nguzo ya Taifa na ni msaada mkubwa sana.
Nifanyeje kumtibu?Kama...
Habari ndg zangu wana JF,
Kama habari hapo juu kinavyojieleza hapo napenda kujua siku ambazo kuna uwezekano mkubwa kwa mwanamke kupata mimba.
Mfano:Ukifanya mapenzi na mwanamke siku mbili au...
Nilikuwa na mjadala na mtaalam wa mambo ya saikolojia nikamuuliza kwanini dunia ya sasa wanawake wengi sana wanapenda kutembea "NUDE"? ukiangalia musics, tamthilia, mitaani, singeli, baikoko...
Mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini.
Hali hiyo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke atakuwa hapati lishe...
Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu...
Habari jamani naomba kuuliza mimi nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, Tatizo langu ni kwamba uono wa macho yangu unazidi kupungua siku hadi siku na wakati mwingine kukiwa na jua ndo siwezi kabisa kutambua kwa ufasaha kitu...
Kwa ufupi
Imedaiwa kwamba wagonjwa wanaopoteza maisha ni wale waliofikiwa hatua za mwisho
By Pamela Chilongola,Mwananchi pchilongola@mwananchi.co.t
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
Kugundua dalili za awali ni njia bora zaidi ya kutibu huu ugonjwa. Kuna baadhi ya dalili ambazo zinaonekana moja kwa moja, ingawa idadi kubwa ya wanaume na wanawake wanazipuuzia.
Hizi ni baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.