Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Msaada jamani jinsi ya kupunguza kiungulia (heartburn) please.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Dr. Mmoja wa saikolojia kutoka Paris Ufaransa anaejulikana Kwa dr. Smith Aley kamshauri mteja wake anyoe nywele zote sehemu za siri kutokana na mteja wake kusumbuliwa na stress na kuonekana mtu...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
wataalam wa mambo ya afya naomba ufafanuzi juu ya ya tatizo ya mimba kutunga nje ya kizazi kuna wanawake wawili kwa wakati tofauti wanapata ujauzito alafu unatungia nje ya kizazi tatizo ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nikiwa nafanya sex mara nyingi bao la kwanza huwa natumia dakika 46 but nikiwa round ya pili utakuta katikat ya game jogoo anasinzia mpaka nipumzike kidogo tena ndio mpango mzima sasa ni nini tatizo?
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Kukosa hamu ya kula kwa mtoto ni kinasababisha hali hiyo
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nini sababu ya urethra infections na tiba yake ni nini? Maana my urethra is rough na tiba ya UTI nimepata lakini bado nahisi kama maumivu wakati wa kukojoa. Nikiwa sikojoi nasikia kamuwasho kidogo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Hi guys. Ni shida,hakunaga ugonjwa wa afadhari hata mara moja,ukiumwa jino utasema bora kuharisha, sasa siku ukiharisha kiasi cha wenzako wamelala wewe usiku wako unamalizia chooni utasema bora...
1 Reactions
0 Replies
769 Views
Nimekuwa nikisikia uwezo wa tunda la tikiti maji katika kuhimalisha afya ya mwanadamu, lakini hivi majuzi jamaaa yangu kanieleza uwezo wake wa kuimarisha ndoa katika kutoa nguvu za kiume. Mwenye...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Wengine mnafahamu kuwa ulaji wa vyakula vya wanga kiwango cha sukari katika mwili kinaongezeka. Kama mwili unazalisha insulin vizuri chembe hai zinauwezo wa kuchukua sukari hii na kuigeuza kua...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
Wapo baadhi ya wanawake ambao wamewahi kupata dalili na viashiria vya ujauzito pamoja na kupimwa kipimo cha mkojo na kuthibitishiwa kuwa wana ujauzito lakini baadaye wakabaini kuwa ujauzito haupo...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Shisha ni uvutaji wa tumbaku uliochanganywa na ladha za matunda mbali mbali kwa kutumia hookah. Hookah ni chombo kinachohifadhi maji na huwa ina mirija kuanzia eneo lakuchoma tumbaku kupitia maji...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Njia zinazosaidia ukuaji wa mifupa ya watoto 1. Vitamin A, D na C na madini ya kalisi, chuma na fosforasi ni virutubisho muhimu vinavyosaidia ukuaji wa mifupa ya watoto. Maziwa ya ng’ombe, mayai...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu najua mko poa. Kati ya taaluma nyingi duniani nadhani hii taaluma ni muhimu kuliko hizo nyingine zote hapa duniani kama si ulimwenguni kwa ujumla. Lakini acha niseme ukweli...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
-Naomba kufahamu,mtoto ana miezi saba,ila kitovu chake ni kikubwa ,Je hili ni tatizo ?!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa takribani miezi sita sasa nimekua na tatizo lakustuka stuka nikiwa usingizini.Mwanzo nilihisi kama naota lakini ilitokea nimelala na mtu ndipo amenieleza ninavyokua. Hua mwili unakakamaa kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf wenzangu??, heri ya sikukuu ya eid kwa waislamu wenzetu. Kuna tatizo linanitatiza kidogo kuanzia leo usiku ambalo limempata mke wangu Mke wangu ni mjamzito wa mwezi mmoja...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mim ni msichana nimeolewa huu ni mwaka wa 3 kwenye ndoa ! Tangu nilolewa nimepata 1miscarriage 1 ikiwa na miezi 3! Nikapata tena ujauzito bt mtoto akafia tumboni miezi 8!; toka hapo nina mwaka ss...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nmekua nkifanya masturbation tangu 2012. Sasa hivi umme wangu umekua dhaifu sana siwezi hata kupiga mchezo wa dakika 5.. Nahitaji msaada wakuu.. kuna dawa gani naweza tumia??
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom