Wana experience naomba msaada jamani
vyakula gan vizuri mama mzazi kuongeza mtotot mi ni mchaga mkewangu
kaambiwa apewe mlaso ile maziwa ya mtindi,damu ya kisusio na vinginevyo amekataa kwa...
Wakuu habari zenu?
Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton...
MAAMBUKIZI sugu ya njia ya mkojo (chronic urinary tract infections - UTIs) ni maambukizi kwenye njia ya mkojo ambayo hayatibiki kwa urahisi au yanajirudia mara kwa mara, Fikra Pevu inaripoti kwa...
Tunatafuta orodha ya madaktari na hospital pamoja na email/simu zao nchini Tanzania.
Tafadhali naomba uweke jina/email/simu ya hospital au daktari unayemfahamu nchini Tanzania.
Tumepata taarifa...
Ivi ni kweli katika utoaji wa mikopo chuo, wanafunzi waliosoma PRIVATE form 5 & 6 hawapewi priyority kubwa ukilinganisha na waliosoma government school..?? Nahitaji kulifahamu jambo hili.
Jamani eeh shoga yangu anataka,awe at least maji ya kunde sabab ni black.sana sasa nikamshaur abaki hivyo hivyo akakataa
Mshaurini atumie mafuta gan ya bei ya kawaida na yasiyo na chemical ili awe...
Wakuu heshima kwenu jamii Dr,
Naomba mnisaidie as per the subject. Baba yangu mzazi ana umri wa miaka 78 anasumbuliwa sana akienda haja ndogo, anaweza akasimama nusu saa mkojo ukatoka kidoogoo...
WAZAZI wengi wanatamani kuwa na watoto wenye afya nzuri kimwili na akili. Ili mtoto aweze kukua vizuri kiafya ana mahitaji mbalimbali kutia ndani lishe na mapumziko ya kutosha.
Mahitaji ya Mtoto...
Innovative medics Dr Francis and his team at Muhimbili National Hospital in Dar es Salaam.
Dar es Salaam. A few months after he was born, Abdul Mfaume suffered severe malnutrition and diarrhoea...
Habari wana,
Hivi karibuni kumekuwa na swala linalonitatiza sana, nina manzi wangu ambae anadai anapatwa na maumivu ya kichwa makali mno anahisi kama kichwa kinataka pasuka, anapatawa na...
Kama title inavyosema, nina mpenzi wangu tulishiriki tendo mwezi wa tano mwishoni baada ya siku 3 akaingia period, leo ananiambia hajaingia period amepima pregnancy test imeonesha ana mimba...
Wana jf naomba kujuzwa juu ya hili. mimi huwa nikikaa mahali penye UPEPO, Au BARIDI likinipiga huwa tumbo linajaa gesi na kila kitu tumboni kinavurugika hadi nikienda chooni huwa naharisha. Huu ni...
Nimesoma kwenye jarida moja kuhusu utoko na hasara/faida zake...
"Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi...
Ndugu zangu natumaini mpo salama nyote.
Naandika Uzi huu kuomba nsaada!
Nina babu yangu ana umri wa miaka 79 ana tatizo la miguu linalomsumbua. Miguu inavimba juu ya unyayo na kuwa mieusi na baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.