Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina rafiki angu wakike ameenda hospitali leo akiwa anasumbuliwa na maumivu wakati wa haja Kubwa. Alipoingia chumba Cha daktari akawakuta madaktari wa5 Kati Yao wa3 ni wakiume na wa2 ni wakike...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada plzzz leo nimetoka damu kidogo sana kama hedhi hivi na ni mjamzito mwezi mmoja na Wiki mbili.Msaada plzzzz!!!!
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Jamani wanajamvi wenzangu, poleni kwa majukumu ya hapa na pale hasa ya kuelimishana humu jamvini..... Sasa ni hivi shemeji yenu ambaye ni mke wangu ana ujauzito wa miezi mitano......Ila shida...
4 Reactions
63 Replies
8K Views
habarini wanajamvi nisiende mbali sana,swala ni hili: Huwa nasikia watu wengi wanadai wanachafua mashuka kwa kuota ndoto nyevu usiku,na wengine huenda mbali nakudai hua wanavunja madafu adi mala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Hivi kumtahiri mtoto akiwa mdogo kuna uwezekano wa kuufanya uume wake kuwa mdogo pindi atapokua? Naomba kusaidiwa katika hilo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarin wanaJF, Wakuu mim naomba kufahamu mambo mawili kuhusu ujauzito 1. Mwanamke akishapata mimba tunaanzaje kuhesabu siku? Tunahesabu kuanzia alipopata ujauzito au tunahesabu toka alivyoanza...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Mdau anaomba msaada toka kwa wajuzi wa hili tatizo: Mke wake amekuwa akipata tatizo la mimba kuharibika kwa kutokana na presha. Kila akifikisha miezi6 hali inabadilika na mwishoe mtoto hufia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Good morning tanzania. nna swali kwanini mtu ukiamka usngizin asubuhi mdomo unanuka? nini inasababsha mdomo kunuka asubuhi
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Naomba kuuliza swali hivi mwanamke anaweza kuonekana ni mjamzito baada ya siku/miezi mingapi ? Na dalili zake ni zipi naomba kujibiwa tafafhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nina swali linanitatiza. Je,mimba ya mwezi mmoja kinakua tayari ni kiumbe au ni nini? Naomba jibu la kibaiolojia tafadhali!
0 Reactions
16 Replies
18K Views
Wakuu habari za jumapili!leo naomba tukumbushane kuhusu umuhimu wa papai. Papai ni tunda la jadi na mmea wa dawa. Hurefuka hadi kufikia meta 7 kwenda juu. NAMNA YA KUTUMIA 1.Kusafisha majeraha...
4 Reactions
16 Replies
10K Views
Wana JF naombeni msaada juu ya hili. Ni siku kadhaa zimepita toka nilipoanza kuvimba kidole cha mguu ghafla sijui ni kwasababu gani lakini kila siku kinavimba na kuuma. Je yaweza kuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wajumbe Kuna mdogo wangu amepata tatizo chuchu zinamuuma hadi kutoa damu ila hajui chanzo cha tatizo Hilo,umri wake ni miaka 20 na hajawai kuzaa. Swali:Ni nini chanzo na tiba yake?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Uzito nilionao una muda wa miezi 3 sasa ninauhisi kwenye kifua kwa ndani mpaka mizizi ya shingo inauma. Naombeni mnisaidie kwa tiba au ushauri, wengine wananambia ni gesi. Lakin naamini hapa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani habari zenu, Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje...
0 Reactions
84 Replies
26K Views
naomba njia ya kutoa kitambia na kuwa na 6 packs kwa muda mfupi na je kuna dawa labda yakutoa mafuta yote tumboni na kuwa na six packs??
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani...
2 Reactions
96 Replies
98K Views
Ni siku tatu, mbwa wamegoma kula. nmeita veterian officer, amewachoma sindano.. lakin bado hawali . je ni kwann na nifanye nn??
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habarini wakuu! Kwa anayefahamu, naomba kujua kama Hindu Mandal Hospital wanatumia bima za NHIF! Msaada Tafadhali!!
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom