Je ni vyakula gani au nini cha kufanya ili mwanaume aweze kupiga bao zaidi ya 2..maana kuna jamaa alikuwa anakula supu ya pweza napo tatizo badooo lipooo
ULAJI wa nyama nyekundu hasa ya ng'ombe, pamoja na maharage mekundu ni sababu kubwa zinazosababisha magonjwa ya magoti na viungo.
Sababu nyingine zinazo sababisha ugonjwa huo, ni pamoja na kuwa...
Hospitali ya muhimbili Tanzania yakumbwa na ukosefu wa damu
Huku ulimwengu jana ukiadhimisha siku ya kimataifa ya utoaji damu kwa kujitolea,Hospitali ya Muhimbili ya umma imekumbwa na ukosefu wa...
Nilikua naomba kuuliza kuhusu tiba mbadala ya ugonjwa wa typhoid maana ni wa muda mrefu karibu miaka 5 kila nikipima upo na nimeshatumia dawa zote adi sindano but tatzo bado lipo. Ushauri wenu ni...
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki..
Mimi nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa linabana sana kwa juu karibu na maungio ya mbavu ...
Ninaomba msaada nitumie tiba gani na inaweza kuwa...
BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA WANAWAKE NA VIJANA WA LEO KUTOKUJUA KUHESABU SIKU ZAO ZA HEDHI.
1- Kupotea kwa elimu ya jando katika makabila yetu
2- Kupotea kwa elimu ya afya katika mashule na...
Wakuu habari jana nilipatwa na hali isiyo ya kawaida mwili wote ulikuwa unauma na hadi sasa unauma afu joto lilipanda mara dufu nikaenda hospital nikakutwa na malaria nimepewa dawa za mseto...
Salaam wana jf,
Naombeni kujua sababu na dawa ya tumbu kuunguruma, hua linaanza nasikia dalili za kujamba sasa wakati mwingine nipo kwenye msongamano wa watu hivyo siwezi kujamba inabidi...
Kuna magonjwa yamekuja kwa kasi kwa sasa kama kansa na sugar ukipata sukari ni hatari maana ukipata kidonda kupona ni kazi pia inakimbilia chini, huwezi kufanya kwa ufanisi tendo la ndoa kwa kansa...
Ninataka kumeza dawa ya malaria maana nina miaka kama mitatu sijawai kuugua ila nimeng'atwa sana na mbu maana situmii neti.
Ila sitaki kupima, siumwi kichwa wala sina homa ila nachokachoka sana...
Habarini za jioni.
Naomba msaada, rafiki yangu wakati wa hedhi anableed kidogo sana na ni kwa muda wa siku mbili tu.
Tukila chakula cha bwana anatokwa na damu, wakati anakuwa katoka hedhi zaidi...
Nina matatizo ya muda mrefu (zaidi ya miaka10) ya Tumbo na kukosa choo haya siku mbili.
Nimetuma madawa mengi ya Hospitali, za asili Na tiba mbadala Lakini tatizo haliishi. Nimefanya endoscopy...
Your Body is Acidic. Here is what you NEED to Do (The Real Truth Behind Cancer that You Will Never Hear From Your Doctor)!
Otto Heinrich Warburg, with a doctorate of chemistry, and a second...
Kuna haya majani yanaitwa "Catherine tea" yanasemekana yanapunguza uzito na unene kwa haraka sana nani alishawahi kuyatumia? Na je yana madhara yeyote kiafya AKSANTE
Malnutrition is sweeping the world, fuelled by obesity as well as starvation, new research has suggested.
The 2016 Global Nutrition Report said 44% of countries were now experiencing "very...
Jaman mi nina mtoto wa miaka 2, akiwa na miezi mitatu alipata infection ya masikio hadi kufikia kunuka na kutoa usaa kwenye. Tukaangaike hospitali nyingi ikiwa ni pamoja na muhimbili na ikenywa...
Msaada wana jamii,Ninasumbuliwa na abdomenal pain,upande Wa kulia chanzo nilidondoka juu ya mti,nmetumia xana dawa za kunywa na kuchua but no good result.Nikaamua kupuga ultrasound na x ray pia...
Habari za jumapili wanajamvi? Ningependa kuuliza juu ya uhusiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kupata siku za mwezi mwanamke mwenye kufahamu juu ya hili Tafadhali.
Nina dada yangu ambaye...
Ni muda sasa na tatizo limeanza kuwa sugu. Nikila nyama, Samaki, mayai au maziwa tumbo linanyonga sana. Mpaka inabidi nivue shati nilale kwenye tiles au sakafu ya baridi. Mpaka nikitapika ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.