Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

MAMBO 8 KUHUSU AFYA AMBAYO UNATAKIWA KUYAFAHAMU SASA 1) Baadhi ya sehemu hapa duniani huwakinga watoto wao dhidi ya magonjwa kwa kuwaogesha kwenye bia 2) kuna zaidi ya kemikali 1000 kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Epidural anaesthesia ni ganzi unapewa kupitia uti wa mgongo, kuanzia labor hadi utapojifungua. Unakuwa Husikii maumivu ya tumbo wala wakati kusukuma. Doctors, huduma hii inapatikana huku?
0 Reactions
30 Replies
8K Views
It's now been long time ago conducting conceptual research about relationship between healing and God, I found that somebody whose sickness and dangerous diseases could not be healed if level of...
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Mapacha ni viumbe(watoto) wanaozaliwa kwa pamoja, mmoja baada ya mwingine na mama mmoja. Kuna aina mbalimbali za mapacha, lakini zilizo za msingi ni mbili,ambazo ni; 1.Mapacha...
1 Reactions
14 Replies
14K Views
Ahsante kwa ushauri wakuu!!
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Kama kichwa cha mada hapo juu inavyosema, je mama anayenyonyesha anaweza kutumia mwarobaini kama dawa na kinga? Wadau mnasemaje juu ya hili.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo...
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Huu uvimbe huwa unatokea wakati wa kulala tu, wakati wa kuwa macho uvimbe unapotea unabaki kama uwekundu fulani hivi na uvimbe kwa mbaaaali, na ukiuminya huo uvimbe hakuna maumivu wala hakuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu hivi huu ni ugonjwa gani? Nina rafiki yangu nilikuwa naishi nae hostel moja chuoni.Rafiki yangu wa karibu haswa.Siku moja akanisimulia tatizo lililokiwa linamsumbua.Aliniambia,"Mara...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tuma,tafuta,thaminisha,jadili na pendekeza huduma za Afya Ni mara ngapi umekuwa ukitafuta huduma za afya zilizo karibu nawe bila mafanikio? Timu nzima ya TanzMED inakuletea TanzMED Directory...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Alikuwa na matatizo ya upumuaji mara baada tu ya kuzaliwa. Nimepita kama private hospitals 2 wakadai kwamba alikunywa maji ya uchungu wakati wa kuzaliwa. Wamejaribu kumtibu wawezavyo but...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nini madhara na faida za ulaji wa karafuu?
0 Reactions
1 Replies
17K Views
Wakuu naomba kujua kama hospitali ya KCMC mkoani kilimanjaro ina daktari wa matatizo ya uzazi kwa wanaume msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba kufahamu chanzo kinachoweza kumsababishia mwanamke hormone zake zisiwe na uwiano sawia, dalili zake, kama husababisha kutopata ujauzito na namna gani zinaweza kurudi kuwa sawia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kwenu wadau, Sio mbaya leo nikiwashirikisha madhara yanayotokana na unywaji wa chai na kahawa, Kuna nini kibaya kwenye CHAI na KAHAWA?: Kwenye chai na kahawa kuna kitu...
6 Reactions
100 Replies
20K Views
Wadau leo limenikuta jambo ambalo limenifanya nijute kumpa dawa mwanangu.... Mtoto anasumbuliwa na mafua tukampeleka hospital amepewa dawa Kama 3 Coldril, Amoxillin na panadol zote za maji...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Mama anapokuwa mjamzito je, ni miezi ipi huruhusiwi kufanya naye tendo la ndoa ukiacha mwezi wa nane na wa tisa; baada ya kupata ujauzito. Pia baada ya kujifungua kufanya tendo la ndoa haina...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Mwaka 1995 nikiwa mkoani Kagera tumbo lilianza kujaa gesi na kunguruma sana likiambatana na kuharisha. Niliweza kutumia dawa mbalimbali za hosptali ambazo sizikumbuki kwa vile ni muda murefu...
6 Reactions
108 Replies
21K Views
Sina nia ya kumsema mtu au kuvunjia heshima hapa, ni udadisi mwema kabisa. Kwa mujibu wa uzoefu wangu na watu kadhaa kuhusu wanawake weupe, hakuna aliyewahi kukutana na mwanamke ambae pia sehemu...
0 Reactions
31 Replies
33K Views
This South American Plant Is a Potential Cure for Cancer And Infertility Although it has been used in the making of bread and drinks until now, newest research suggests that this exotic...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom