Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Saudi medical staff leave the emergency department at a hospital in the center of the Saudi capital Riyadh on April 8, 2014. A jealous father shot a male doctor at the King Fahad Medical City in...
2 Reactions
0 Replies
682 Views
Habari za humu wana jamvi, mimi ni mzazi wa watoto sita waliozaliwa mara tatu, yaani pacha tatu. Kuepuka kuleta ya nne niliweka kitanzi, kwa muda sasa nimekua nasikia maumivu makali, ikabidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanamke aliyezaa kwa operesheni katika mzao wake wa kwanza, hawezi tena kujifungua kwa njia ya kawaida? Na nini kinapelekea wanawake wengi zama zetu hizi kujifungua kwa operesheni?
1 Reactions
30 Replies
32K Views
Mtoto amepewa dawa pungufu tofauti na ushauri wa doctor,aliandikiwa kutumia dawa 5ml ila nilipoenda kununua dawa pharmacy wakaandika apewe 2.5ml so wife akawa anampa kulingana na maelezo ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau natafuta endocronologist mzuri alie specialize kwenye human growth kwa hapa Tanzania kama una weza nifahamisha jinsi ya kuwapata ntashukuru
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau mke wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo na pia mikono kufa ganzi tumeenda hospital kufanya vipimo tulivyoandikiwa na dokta akabainika kuwa ana typhod ndipo dokta akatuandikia...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
CHUKUWA TAHADHARI KUANZIA HIVI SASA...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Kwa ufupi TFDA walisema kutokana na kuongezwa ladha, sukari hiyo haifai kwa matumizi ya wagonjwa wa kisukari, wajawazito na watoto. By Mwandishi Wetu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mkomamanga (Punica granatum)ni mmea ambao asili yake ni katika nchi za Mashariki ya Kati (Middle East) na umetajwa sana katika vitabu vya kale vya historia ya eneo hilo. Kwa mujibu wa kamusi ya...
1 Reactions
2 Replies
15K Views
Wasalaam wakuu, tafadhali naomba kufahamu kutoka kwa wataalam kama kweli ni sahihi au si sahihi kwa mtu mwenye uzito ulizidi na mwenye uhitaji wa kupungua uzito kama itakuwa sahihi kwake kutumia...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
habar zenu ndg: kuna dada wa rafiki yangu ana mtoto amempata tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo mtoto huyo bado ni mchanga sana kama kazaliwa siku 5 zilizo pita amekuwa anasumbuka sana amejaribu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nikiwa kwenye biashara zangu kuna binti mmoja alikuwa ananiletea chakula kutoka mgahawa flani anaofanya kazi kila mara katika majadiliano ya hapa na pale na wafanyakazi wangu wakawa wanasisitiza...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Habari zenu wana jamii forum! Kuna suala moja mie linanikera sana ambalo nimeona kupitia jamii forum wenda ikafikia wahusika na maisha yakawa yenye furaha. Suala lenyewe ni hili la uvutaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
je nikipaka limau baada ya kunyoa ndevu kuna madhara kwenye ngozi?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani wadau naombeni mnielekeze sehemu yoyote au mtu yoyote ambae anaweza ni uzia hizi dawa au hospitali yoyote ambayo ina toa tiba hii kwa Tanzania
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kujua namna ya kupunguza size ya uume wangu maana umekua ni shiida kwa mke wangu mtarajiwa maana tukifanya sex anasema namuumiza sana wala hafurahii ??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Najihisi kama uume wangu ni mdogo kiasi kwamba kila mwanamke ninayekutana naye inaonekana kama haridhiki na size ya mboo yangu, kimsingi naboeka sana kiasi kwamba naona nitafute njia ya kuongeza...
1 Reactions
81 Replies
84K Views
MATUMIZI 5 YA COKE YANAYOTHIBITISHA KWAMBA SI SAHIHI KWA MATUMIZI YA BINADAMU Coca-Cola ni kinywaji maarufu na kinajulikana sehemu nyingi sana duniani. Kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Nyakati za leo ambapo uvaaji pichu kwa wanaume na wanawake uko juu sana kuanzia watu tunapokuwa watoto wadogo hali ya Afya ya viungo vya uzazi imeendelea kuwa mbaya sana. Yafuatayo ni baadhi ya...
3 Reactions
13 Replies
10K Views
Kwa takribani miezi miwili sasa nimekuwa nikijihisi tofauti. Mapigo ya moyo wangu yamekuwa yakienda kwa kasi. Leo nikaamua kwenda hospitali kupima. MAJIBU:- * Blood Pressure = 165/110 * Uzito...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom