Happy NY
Asilimia kubwa ya watu huenda sana kula huku wakishushia na maji tena ya baridi sana, imeshakua desturi ya kaya nyingi kuandaa chakula na maji ya kunywa au mtu anaginga viepe na soda...
Wakuu naomba dawa au ushauri wa namna ya kuutunza ulimi kwan nimekuwa na tatizo la kutokwa kama vidonda kwenye ulimi halafu na kupotea kwa muda mfupi.
Sina HIV wala kisonono na huwa natatumia...
Wanaume ni vipimo (units) 3 kwa siku au 21 kwa wiki.
Kipimo kimoja = chupa 1 ya bia; bilauri (glass) 1 ya mvinyo = Tot moja ya whisk, gin, konyaji nk.
Wanawake: Wasizidishe vipimo (units) 3 kwa...
Fangasi ni nini
Watu wengi hawajisikii vizuri unapokuja wakati wa kuzungumza juu ya fangasi kutoka na namna ugonjwa wenyewe unavyochukuliwa na jamii. Hii inatokea sababu mara nyingi ugonjwa huuu...
wasalaaamu
Awali wa yote wote tunajua kuwa ni weekend kwa hiyo huwa watu wanatoka sehemu mbalimbali kupunguza stress na uchovu wa wiki nzima
Kwa upande wangu ninapokua napata baridi na moto huwa...
Habari, nina mdogo wangu kaniuliza swali nimeshindwa kumjibu ...
Yeye huwa anaingia katika siku zake tarehe 7 au kumi na mbili sasa tarehe tatu alikutana kimwili ananiuliza atakua hana mimba...
Habari za weekend wakuu...
nimepata demu mpya tupo kwenye mahusiano miezi miwili sasa, mtoto mashalaah, sura ipo, rangi anayo, shepu ndio usiseme kwa kifupi mungu amemjaalia sana na hata tabia...
Asalam wana Member wote,
Kuna kijana(Me) ana umri wa miaka 25, tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo, ni mhitimu wa chuo kikuu kimoja wapo hapa Dsm.
Baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya...
Salaam wadau ;
Katika kupita pita kwangu mtandaoni nikakutana na side effects of Arvs kwa mtumiaji.kinachonishangaza ni kwamba baadhi ya hizo athali ni mbaya zaidi kuliko hata...
Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba mnijulishe ni jinsi gani mtu anaweza akautreat ugonjwa wa Social Anxiety Disorder coz nina mdogo wangu ambaye I think anao coz dogo ana aibu ile mbaya hadi...
Habari za Siku nyingi ndugu zangu nina shida naombeni msaada wenu sana Mama ni mama kijacho wa wiki 23 kuna kakipele kalinitokea sehemu za siri kwa nje kwenye mashavu karibia na mstari...
Jaman naombeni msaada nasumbuliwa na tumbo yani linanyonga km dk 5 afu linaacha nikikaa kidogo linaanza tena yani hii ni wiki ya 3 tumbo linafanya ivo msaada pls
Habarini wakuu..
Nafanya kazi pharmacy nimekuwa nikipokea malalamishi kwa watu wengi .
Wanasema mafua yakimpata mzungu ni rahisi sana kumuua kuliko Mwafrika ..
wakuu je kuna ukweli wowote
na...
Habari za asubuhi wapendwa,
Nimeamka nikiwa na maumivu makali sana kwenye sikio la upande wa kushoto,nimejaribu kutoa uchafu lakini maumivu bado yanaendelea,kabla sijaenda kwenye kituo cha huduma...
Kuna nini kibaya kwenye chai na kahawa?
Kafenia ni nini?
1.Kafenia ni madawa ya kulevya undi la ‘stimulants drugs’.
Utashangaa habaru ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai...
Mimi ni mjamzito wa miezi tisa(9) ,ni mgeni hapa ,tatizo linalonisumbua ni kuhusu ulimi ,yani napata shida umetokea na kama fangasi ,kooni nasikia ukavu.
Mwanzoni kabla sijajiunga nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.