Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna Hali imenitokea kila napokuwa faragha na mwenza wangu siyo Hali ya kawaida maana nachukua Muda mrefu sana bila kufika mshindo. Muda mwingine mpaka ninae kua nae faragha anakua mkali zamani...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
LEO TUANGALIE UGONJWA WA KISUKARI. Kisukari ni ugonjwa hatari sana ambao unawasumbua watu weng sana,waume kwa wake hususan watu wazima.Katika makala hii fupi hatukusudii kuzama sana na kuuchambua...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
mimi ni mtumiaji wa pombe hususani beer ila nikiishiwa napiga voroba vya konyagi.unywaji wangu ni wa kaiwada sana yani huwezi kutambua kama nimekunywa zaidi ya kuchangamka na kuwa mcheshi.kwa kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wadau wa Afya.. Natumaini humu kuna madaktari na wakunga labda. Inawezekana swali langu limeshaulizwa but mnaweza kunisahihisha pia. 1.Hivi Mtoto wa Kiume ni Lazima azaliwe akiwe zaidi ya...
1 Reactions
15 Replies
45K Views
Jaman wanajamii forum nina ilo tatizo kama inavosema heading, Naomba Ushauri au msaada wenu kwa anaefaham dawa au njia ya kulifanya ilo tatzo lisiwepo sababu linanikosesha amani ya kuvaaa open shoes.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyoeleza....natafuta hiyo kitu kwa ajili ya kuwapa ng`ombe uli wawe wanafanya metabolism kwa haraka....mwenye info zaidi ani pm.....thanks
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Habari zenu Mabibi na Mabwana. Naombeni kujuzwa kama kuna huduma ya kukata na kupanga meno hapa Tanzania, na kama ipo niwapi inapatikana? If possible naomba kujuzwa na garama, manake kunamshkaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
.....
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Asalaamaleykum.wanajamvi leo kunakitu ningependa kushare na nyinyi natumain mwishon ntapata ushauri wenu.ok,mimi nna mpenzi wangu,mpenz wangu huyu ni mlokole wa nguvu sana,nimekaa nae kwa mda wa...
5 Reactions
46 Replies
23K Views
Habari. Nilikuwa na shida ya kuondoa makovu kwenye mikono yangu. Naombeni ushauri, au nitumie niin ili kuondoa?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF... Juzi nimefanya mapenzi na wanawake wawili tofauti. Leo nahisi kichwa cha uume kinawasha... Je ni dalili ya ugonjwa gani? Hao niliofanya nao mmoja amepima hana UKIMWI na...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Dawa sahihi ya kutibu P.I.D.
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Heshima zenu wakuu Nina jamaa yangu siyo member wa JF anahiyo shida, mtoto wake alianzaga kuongea alivofikisha mwaka na nusu then akaugua kifua akaacha kabisa kuongea, Mpaka sasa anamiaka mitatu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku zilizopita tuliweka thread juu ya mafuta uzuri (uturi) ya Miski na Alhamdulillah tunashkuru kwa kutuunga mkono. Tunaendelea wajulisha wanaohitaj Miski original tuwasiliane ..bando ya chupa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dalili zinazoashiria magonjwa ya akili ni nyingi sana, baadhi tu ni ambazo zimegawanyika katika makundi matatu ni kama ifuatavyo: i) Kihisia · Kukosa furaha na kuhuzunika sana · Kuwa na furaha...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Salam wapendwa nikiwa mdogo nlikuwa napenda sana kula udongo hata nilishwe chakula kitamu kias gan lazima ntautafuta udongo kwenye nyumba fulani nchokonoe nile. Utafiti Wangu...
1 Reactions
1 Replies
868 Views
What is Cholesterol? Cholesterol is a waxy fat like substance that is found in all cells of the body. The body produces 85% of cholesterol required; while the other 15% is gotten from certain...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi. Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa...
3 Reactions
8 Replies
8K Views
Mimi tataizo nataka nichelewe kupiga bao,wakati nikifanya mapenzi...cpendi kuwai kama unavyo jua bao la kwanza linawai kutoka nifanyaje?ili nichelewe?
0 Reactions
52 Replies
30K Views
WAKUU unywaji bia au vodka una faida gani ZA kiafya katika mwili wa binadamu?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Back
Top Bottom