1) A pig is a real garbage gut. It will eat anything including urine, excrement, dirt, decaying animal flesh, maggots, or decaying vegetables. They will even eat the cancerous growths off other...
Siku 5 sasa toka nipate bint la Kimanyema sasa naona anaugonjwa ndo
Kaniambukiza na mke wangu ndo kasafiri anarudi jmosi sasa itakuwaje na mimi ndo niko kwenye Dozi na mke wangu nitamwambia nini
Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na mafuta (Cholestrol) na wanga...
Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama uterine myoma au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.
Tatizo hili huwakumba wanawake wengi ambapo huwapata...
Habari za Asubuhi wadau,naomba mnijuze kuhusu hili suala.
Juzi nimenunua pakti la korosho pale Kisutu sokoni zikiwa fresh zikinukia vizuri, nikaanza kula kidogo.
Kwa kuwa nilinunua kilo nzima...
wadau naomba msaada nifanyaje nitumie dawa gani maana nilikuwa naenda kwa kinyozi kunyoa ndevu nilivyofika tu nilihisi kama nimepaliwa nikaanza kukohoa mfululizo nikaomba maji ninywe hayakusaidia...
Ndugu zangu wanaJF,
Nauliza hivi, huwa ma-genius wanazaliwa na huo u-genius au wanatengenezwa?
Are genius made or born?
Naombeni msaada wenye maelezo maana najua wataalam wapo wengi humu.
Habari,
Naomba msaada jamani, mimi nina matatizo huwa naumwa tumbo tarehe 25 la blidi alafu blidi yenyewe naweza kuja kuingia kuanzia tarehe 6 alafu tarehe zinabadilika badilika.
Hivi mimba ya wiki moja au mbili inaweza kuonekana kwenye ultrasound? Then, hii ipoje..
Baada ya mwanamke kupitiliza siku zake kadhaa za hedhi anaamua kupima mimba then kipimo(UPT)kinaonesha...
Habari zenu wanaJF,
Mwenzenu natatizika kidogo hapa! Inaweza inaonekana kama suala la kijinga lakini ni bora tuliongee hapa!
Mimi ni kijana mtu mzima tu, umri wangu ni 23, na niko higher...
Msaada doctor nataka niulize mara nyingi baada ya kupata kufungua kinywa I mean breakfast na hata chakula cha mchana nikila lazima niwe na uchovu Sana na hata kulala sijajua kuna uhusiano gani...
Habari za asubuhi waheshimiwa wa Jamii Forums,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nina tatizo la maumivu kwenye goti la mguu wa kulia upande wa nje na hii ilitokana na kuruka umbali mrefu...
SERIKALI imeonyesha jitihada kubwa katika kupambana na ugonjwa wa malaria ambapo maambukizi yanatajwa kwamba yameshuka kutoka asilimia 18 kwa mwaka 2007/2008 hadi asilimia 10 mwaka 2011/2012...
Habari wakuu.Hivi kuna tatizo lolote la kiafya kwa mtoto kuanza kutoa meno ya juu?.
Maana nina binti yangu wa miezi saba jana nimemcheki mafizi ya juu yamevimba na vijino vipo kwa mbali vinachoma...
Salam zenu wadau
Naomba mnisaidie yafuatayo :
_nawezaje fanya mapenzi na mke wangu (kajifungua ana mwezi) bila kumwaribu mtoto (asije kua fundi baiskeli)? Au kama Kuna dawa nitajie.
_Je ni kinga...
Madaktari wanaonya kuwa utumiaji wa sukari una madhara katika afya yako, Mfano afya ya kinywa, kuozesha meno, uharibifu wa ngozi, kuharibu kinga ya mwili, cancer, mogonjwa ya moyo, kuharibu damu...
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF?
Yaani mi nikiwa kwenye majambo na mke wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu.
Naamka baada ya kama lisaa limoja hivi...
Habari za weekend wanajamvi?
Naomba nije na haka kaswali, mtoto ana miezi minne, kwa sasa mtoto anapata maziwa ya mama kwa sana, uji kiasi si sana na maji kidogo, tuna mpango wa kumuanzishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.