Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna siku niliandika kuhusu ugonjwa wa ngozi sehemu za siri nashukuru baadhi yao walinipa mwongozo kuhusu dawa lakini lile tatizo bado linaendelea msaada tafadhari
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wataalam nisaidieni jamani, huwa kuna kipindi inatokea nawashwa sehem ya haja kubwa mara tuu baada ya kujisaidia, baada ya muda panaacha tena, kosa nikienda kujisaidia tuu, ni ugonjwa gani huo
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba Category ya magonjwa yanayowapata/tibiwa/ripotiwa mara kwa mara katika hospitali za Tanzania. Itapendeza nikipata na kiswahili cha kila category ya kiingereza utakayotoa. Mfano 1...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
dawa ya kisonono sugu
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Ndugu Wanajamii Forum. Ni Vyakula Gani Vinavyoongeza Manii? Nawasilisha Kwenu.
1 Reactions
25 Replies
79K Views
Unga wa habatsoda hutibu magonjwa gani? Msaada please
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nina kijana wangu wa kiume ndo anatimiza miaka 2 tatizo lake kutokwa UDENDA. Anatokwa udenda mpaka analowanisha nguo within an hour. Msaada kama unajua tiba
0 Reactions
14 Replies
11K Views
hodi madokta sorry kuna ndugu yangu hapa mwanaume anapenda kula na kunywa maji hapo hapo je kuna tatizo lolote litalomtokea? asante
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Tatizo hili kitaalam tunaita Halitosis linawasibu wengi bila kujua Tiba Chukua baking soda (bicarbonate) kijiko kimoja kikubwa, limao 1 au ndim changanya na maji kikombe kimoja kunywa kila siku...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nawasalim kwa jina la anayetupa uhai, nianze kwa kusema tuu, ni mjamzito wa miezi 8 na wiki mpaka sasa, hivi karibuni nimeanza kuhis maumivu makali yanayoanzia chini ya kitovu mpaka sehemu za...
2 Reactions
6 Replies
15K Views
Wakuu napata maumivu katika hali zifuatazo:- 1.Wakati fulani nikimaliza kukojoa mwisho natokwa na manii halafu maumivu makali ya korodani yanafuatia. 2.Nikitamani kufanya ngono hata kama...
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Hi Jf doctors!naomba kujua maajabu ya mbegu za papai na tikiti katika mwili wa binadam vilele maajab ya Mloge maana nimekuwa nikisikia tu kwa muda mrefu sasa kwamba mazao hayo ni tiba kubwa.
1 Reactions
10 Replies
71K Views
Habari wanajf, Kuna kitu kinanishangaza katika ugongwa huu wa macho ambao umezoeleka kama red eyes,nikiwa kama mmoja wa niliopata tatizo hili tena kwa mara ya kwanza toka nimeanza kuusikia au...
0 Reactions
13 Replies
25K Views
Habarin ndugu, Naomba kuuliza, mwanamke anapotokwa na hedhi mfululizo bila kukata zaid ya mwez mmoja au zaid, ni nn chanzo chake na nn matibabu yake, mwenye majbu tafadhali.
1 Reactions
10 Replies
30K Views
Hi wanaJF Kama kuna mwenye uelewa juu ya hili la mtoto akiamka analia basi naomba anijuze tafadhali
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wanajamvi, nitakuwa nawaletea faida ya matunda na mimea mbalimbali kwa ajili ya afya zetu, nikianza na TIKITIMAJI: Kuna imani kwamba tikitimaji (kama jina lake) ni tunda lililojaa maji kwa wingi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza jaman dawa ya michiriz kwenye mapaja.... mpenz wang ana michiriz imemtokea ghafla..
1 Reactions
10 Replies
7K Views
MATATIZO YA UZAZI KWA WANAWAKE. HARUFU MBAYA UKENI. Hili ni tatizo lisumbualo wanawake wengi duniani, kutokwa na harufu mbaya ukeni hususan wakati wa tendo la ndoa. Hali hii ya kufedhehesha...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
MATATIZO YA UZAZI KWA WANAUME. Wanaume wana matatizo mengi sana ya uzazi tofauti na inavyodhaniwa kuwa Wanawake pekee ndio wana matatizo hayo. Mtatizo nimengi kama vile kukosa hamu kabisa ya...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Back
Top Bottom