Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Poleni na majukumu, naombeni msaada wa mawazo na ushauri tafadhali, mimi baada ya kujifungua kwenye magoti ndani ya zile nyama huwa nina hisi maumivu saa hasa pale ninapopiga magoti mf. Wakati...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
human chorionic gonadotropin (HCG) Generic Name: human chorionic gonadotropin (HCG) (injectable) (HUE man KORE ee ON ik goe NAD oh TRO pin) Brand Name: Novarel, Ovidrel, Pregnyl, ...show all 10...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
watu wa maabara tujuzane kuhusu hizi upt,nimempima mke wng leo mkojo ili kutambua uwepo wa mimba.upt imeonyesha mstari mmoja umefifia kama ulikuw unataka kuja na wa pili kuelekea kishikio umekolea...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Napenda kuwashukuru wana JF kwa kunipa njia mbalimbali juu ya tatizo langu ambalo nililianisha jana kuhusu Jogoo langu kulala kwa mpigo mmoja 2, kwani Leo nimelifanyia kazi na nashukuru goli leo...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
MAISHA yalivyo sasa si sawa na yalivyokuwa miongo kadhaa iliyopita. Wakati huo wanawake waliingia kwenye ndoa katika umri mdogo (mara nyingi usiozidi miaka 25) na kuchukua jukumu la kuzaa na kulea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mwanamke mjamzito anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito. Hata hivyo tafiti nyingi zinathibitisha idadi ya wanawake wajawzito wanopatwa na vidonda vya tumbo kwa sasa ni ndogo...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Historia ya babu zetu inasema mwanaume alietairiwa huwa anapendwa sana ni kweli me sijui but me ni nimewaona jamaa zangu wa eneo fulani huwa wanapendwa sana ingawa hawajatahiriwa na wanapendwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi mwenzenu sijui nina tatizo gani,yaaani napenda sana kufanya mapenzi,kwa wiki nafanya hata mara 5/4. Na nikilala na mwanamke huwa kesho yake lazima alalamike eti napanda kila mara...
5 Reactions
75 Replies
15K Views
Leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika...
2 Reactions
100 Replies
24K Views
Watu wengi tumekuwa tukijiuliza kinga ya mwili ni kitu gani na je ni nini tufanye ili kuiongeza hiyo kinga ndani ya miili yetu. Suala la kuimarisha na kuiongeza kinga ya mwili linapaswa kuwa ni...
8 Reactions
31 Replies
23K Views
Ni miezi 4 sasa jamaa hakiwika mara moja tu hiyo hadi kesho yake vp ndugu zangu nahitaji msaada ila nimekunywa Ngorika ya Kimasai weeeee lakini haitaki kusikia.
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu wanaJF, nina mdgo wangu hapa 12yrs old, tumbo lake ni kubwa , sio la kawaida kiukweli. Na sio kwamba yey n mnene unaweza sema ana kitambi hapana, ni mwembamba tu. Msaada wandugu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VYAKULA VYA KULA KILA SIKU ILI KUITHIBITI PRESHA YA KUPANDA Foods to eat to control high blood pressure 1) (Garlic is natural medcine for treating high blood pressure) KULA KITUNGUU SAUMU...
0 Reactions
5 Replies
21K Views
mm ni miongoni mwa watu wanaosaka mtoto kwa muda wa zaid ya miezi sita,leo nakuja kwenu nauliza mke wangu mzunguko wake ni wa siku 30 na mwez huu wa nne smeblid tarehe 26 je siku yake anayoweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye namba za simu za Tumaini hospital naomba anisaidie ikiwezekana na pia kupata namba ya simu ya specialists wa mgonja ya njia za mkojo hasa kwa wazee na matatizo mengine ( urologists)...
0 Reactions
12 Replies
17K Views
Wakuu napenda kujua kazi ya limao unapokamulia katika Supu ya nyama au kuwekwa kwa nyama choma, Msaada katika hili.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Nina tatizo moja linalonisumbua kwa muda mrefu. Tatizo lenyewe ni hili; Ninapokuwa na mwenza wangu au wale wa kupita maeneo ya kitandani Mawazo na hisia...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari wanajamv? Ni miaka kama miwili sasa naona kunaongezeko la ukuaji wa kifriji changu, ningependa kujua ni mazoez gani husababisha kubalance tumbo, msaada please
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Dawa ya Aspirin yawasaidia baadhi ya watu kukinga ugonjwa wa moyo na saratani ya utumbo mpana (colon) Kikundi cha huduma ya kinga cha Marekani USPSTF kimesema, matumizi ya kidonge kimoja cha...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Nilikua nina shida naomba nijibiwe kwa ufasaha kabisa kwa ambae hajui ni vizuri kukaa kimya ili na yeye afaidike.... Suala langu ni kwanini nikijamiana hua nawahi kufika? La pili dawa gani ambazo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom